Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,580
- 8,141
Keyboard warriors cum experts 🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya matukio muachane nayo,hayasaidii chochote.kama kufa ashakufa,
Kuhusu weledi wa polisi kukabiliana na mtu kama huyu hili nalo tuwaachie polisi wenyewe.
Hebu fikiria polisi anafanya kazi zaidi ya miaka kumi ila hajawahi kupambana na jambazi ana kwa ana,licha ya kuwa na mafunzo
Tukumbuke:hakuna mafunzo Wala mazoezi kwenye kupigana/au kushambuliana,bali Kuna nafasi moja tu,ya kumpiga adui/mpinzani wako.
Wengi wanahoji kwanini asingekamatwa akiwa hai? Mimi nakataa....
Lazima askari wetu walikuwa makini kuhusu vilipuzi n.k.
Lakini pia,hebu fikiria...yaani wewe unayesoma hii comment unaona Askari wenzio wamepigwa risasi,wamelala
Bado tu una wazo la kumkamata akiwa hai?
Watanzania tuache unafiki,wengi hatuwezi.
Nafikiri polisi wetu wanajua kuact unprofessional na sio Professional that's why hata kwenye kuapply tactics ni Zero Minded.Haya matukio muachane nayo,hayasaidii chochote.kama kufa ashakufa,
Kuhusu weledi wa polisi kukabiliana na mtu kama huyu hili nalo tuwaachie polisi wenyewe.
Hebu fikiria polisi anafanya kazi zaidi ya miaka kumi ila hajawahi kupambana na jambazi ana kwa ana,licha ya kuwa na mafunzo
Tukumbuke:hakuna mafunzo Wala mazoezi kwenye kupigana/au kushambuliana,bali Kuna nafasi moja tu,ya kumpiga adui/mpinzani wako.
Wengi wanahoji kwanini asingekamatwa akiwa hai? Mimi nakataa....
Lazima askari wetu walikuwa makini kuhusu vilipuzi n.k.
Lakini pia,hebu fikiria...yaani wewe unayesoma hii comment unaona Askari wenzio wamepigwa risasi,wamelala
Bado tu una wazo la kumkamata akiwa hai?
Watanzania tuache unafiki,wengi hatuwezi.
wakisikia mlipuko wanachanja mbuga kuelekea mafichoniAngalia wanavyotembe kwa kujimwambafy kishujaa utafikiri wametoka kwenye mapambano makali mstari wa mbele vitani, kumbe imechukua zaidi ya saa kukabiliana na mtu mmoja ambaye wamemuua baada ya yeye kuishiwa risasi na kujiweka peupe apigwe risasi
View attachment 1909185
Tushukuru Mungu huyu jamaa alikuwa sio gaidi alikuwa na shida na polisi ccm tu,angekuwa gaidi raia zaidi ya mia wangekufa,maana alitamba zaidi ya nusu saa akiwa amezungukwa na daladala kibao zenye abiria
Unapokea kodi zetu afu unaogopa kufa pimbi wewe wakati uliapaWe endelea kupaka hizo ta.ko mafuta tu unawezaje kuthibitisha silaha imeishiwa risas na uko umbali zaid ya mita 100/50? silaha yoyote hata ikiwa na magazine hiyo siyo silaha salama na inaweza kuuwa pia huwez kumsogelea labda aaweke silaha chini
Nyie maboya mnapenda kusifiwa tu mkiyatinganya hamtaki kukoselewa nawaamini mgambo 100% kuliko Polisi legelegeUlijuaje kama risasi ziliisha kwenye bunduki unazifahamu kanuni za umilikaji wa silaha? Kanuni inasema "muda wote amini silaha ina risasi",kitendo cha adui kunyoosha mikono juu ile ni fighting tactical yakumpumbaza unayepambana naye ndio maana polisi hawakutaka kuamini wakaendelea kumshambulia.Hivyo niwape rai musipende kuleta siasa kwenye mambo ambayo yanahatarisha uhai wa watu,ndugu zetu wamekufa aisee acheni use..
msiwafunze kazi polisi wetu wana mbinu zote za kimapigano ila pale ilikuwa ngumu sana kutumia mbinu ya 'close battle' na ndio maana wakamtanguliza yule askar aliyevalia kirai(mwenye pistol/aliyepigwa na adui).
Mkuu si kweli kwamba hawana uweledi, hukuona clip walivyo vamia hotel alimokuwepo mbowe mwanza? Labda useme uweledi wao una mipaka! Yaan inasikitisha Sana kuona mtu tayar ameisha ingia kwenye 18 zako bado unamchakaza bila kukumbuka atakusaidia kukupa dataNimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.
Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu ambaye amejeruhiwa kaanguka chini.
Alipokuwa amejeruhiwa na kuanguka chini, Polisi waliendelea kumpiga risasi akiwa amelala chini ambazo nimehesabu na kukuta walimpiga risasi 19. Ajabu ni kwamba kundi lote lile la Polisi walifanikiwa kumpiga pale tu alipoishiwa risasi na kuonyesha wazi alishaamua kufa - maana alijifanya target rahisi sana.
Sasa hili lina maana gani? Ni wazi kwamba polisi wetu hawana weledi katika matukio kama haya, kwa kuwa baada ya kuwa umeona ameishiwa risasi na si tishio tena, jambo la msingi inabidi kuwa ni kumkamata akiwa hai ili kuweza kupata habari zaidi atakapodhibitiwa.
Kwa hiyo Polisi walipaswa kumkaribia kwa umakini katika formation ambayo kunakuwa na askari wanamsogelea wakiwa na silaha tayari, na wengine waanawa-cover askari wanaomsogelea katika kitu tunaita "flanks".
Lakini pia, kuna upande wa pili, kwamba huenda kuna askari walikusudia kumuua ili huyu mtu asitoe taarifa juu ya ugomvi wake na askari, maana mfu haongei!
Kwahiyo kuna conclusion mbili tu hapa, kwamba polisi wetu wako very unprofessional, na pia walikusudia huyu mtu asitoke kwenye hili tukio akiwa hai.
View attachment 1909036
Uoga tu.. wanajua atanyenyuka awashambulieNimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.
Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu ambaye amejeruhiwa kaanguka chini.
Alipokuwa amejeruhiwa na kuanguka chini, Polisi waliendelea kumpiga risasi akiwa amelala chini ambazo nimehesabu na kukuta walimpiga risasi 19. Ajabu ni kwamba kundi lote lile la Polisi walifanikiwa kumpiga pale tu alipoishiwa risasi na kuonyesha wazi alishaamua kufa - maana alijifanya target rahisi sana.
Sasa hili lina maana gani? Ni wazi kwamba polisi wetu hawana weledi katika matukio kama haya, kwa kuwa baada ya kuwa umeona ameishiwa risasi na si tishio tena, jambo la msingi inabidi kuwa ni kumkamata akiwa hai ili kuweza kupata habari zaidi atakapodhibitiwa.
Kwa hiyo Polisi walipaswa kumkaribia kwa umakini katika formation ambayo kunakuwa na askari wanamsogelea wakiwa na silaha tayari, na wengine waanawa-cover askari wanaomsogelea katika kitu tunaita "flanks".
Lakini pia, kuna upande wa pili, kwamba huenda kuna askari walikusudia kumuua ili huyu mtu asitoe taarifa juu ya ugomvi wake na askari, maana mfu haongei!
Kwahiyo kuna conclusion mbili tu hapa, kwamba polisi wetu wako very unprofessional, na pia walikusudia huyu mtu asitoke kwenye hili tukio akiwa hai.
View attachment 1909036
HindsightWangekufa kisha wangezua jambo la kuwakejeli tena kuwa wamekufa kizembe, dunia tamu sana lakini watu waliomo ndani yake wenye mawazo haya ndiyo wanaoifanya dunia ionekane ni upuuzi tu.
Wewe ulimuona akinyoosha mikono juu?Police wa Tanzania hawajui kwamba habari ni muhimu zaidi.. ni kweli baada ya kuishiwa risasi alikuwa si threat tena....kulikuwa hamna haja tena ya kumtwanga ya kichwa.
Adui akishanyoosha mikono juu na kuweka silaha chini, huyo muda huo huo anageuka na kuwa shahidi mkubwa mno tena wa thamani kubwa!!
Kwa mfano sasa hivi wangeshajua why ali-target askari tu na si raia.
Hakuna kitu kibaya kwenye mapambano ya risasi kama kupiga risasi za woga. Kwanza unakosa target. Ingekuwa ni magaidi wenye mafunzo na wako kama watano hivi polisi wengi wangeuawa na ingechukuwa muda mrefu sana kuwashinda. Hebu angalia alipotoka kwenye hicho kibanda yule aliyejeruhiwa alikuwa bado amelala pale pembeni. Ina maana kama angekuwa hajaishiwa risasi angeweza kumuua kirahisi tu.Au kijimwambafy. Unajua kuna polisi hawajawahi kuwa katika mpambano wa risasi kwa hiyo wanakuwa na mchemko fulani wa excitement katika tukio kama hili na watapiga risasi ovyo hata isipostahili.
Lakini oia kama nilivyosema, huenda baadhi yao walijua kabisa lazima mtu huyu afe la sivyo atatuumbua!
Yaani kuna watu wanaongea mashudu hadi unawish waingie kwenye 18 pumbaff!Hawa keyboard warrior cum experts hawawezi kujiuliza vitu kama hivyo, wanatafuta cha kulaumu tu!
Ndiyo maana wao ni Police na mimi ni raia. Kwanza jamaa hakuwa threat that much sababu hakuna na shida na raia..target yake ilikuwa kwa askari tu ambao wako trained..sasa tatizo lipo wapi ndugu.Wewe ulimuona akinyoosha mikono juu?
Wewe ungeweza kusubiri ushahidi na wenzio amesha waua?
Unapiga mabomu ya machozi ya kutosha ili kum suffocate halafu unamkamata kama panya tuu...Vipi kama angekuwa na vilipuzi, kumkaribia si ingekua hatari zaidi?
Ni majinga kiasili.Ni uoga tu
Wewe Kwa mfano ndo askari ,ungeaminije kuwa kaanguka Kwa kupigwa risasi na kama angejiangusha je,,bro kila kazi ni ngumu .kuna mtu ukimpa silaha anazimia papo hapo.kwa hiyo msifundishe watu kazi ....Nimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.