Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunyang'anya silaha polisi siyo uthibitisho kuwa hawez kuwa na bomu huyo tayar alishajitoa muhanga alijua ktendo nachoenda kukifanya ni lazma nife hivyo angeweza tu hata kujifunga mabomBomu alitoe wapi wakati inasemekana silaha aliwapora polisi wenyewe
Kule kitaya ilikuwaje[emoji1][emoji1]Ingekuwa jeiwii asingechukua hata duru huyo na angedakwa mzima mzima
... na yale madada utamu yanayoanika mautamu barabarani nyakati za giza! Hao ndio wanayapatia kuyarundika kwenye makarandinga kama kuku halafu mbele hapo wanayaachia bila masharti!Umeona eenhh??.Na kukamata wapika gongo.
Nimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.
Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu ambaye amejeruhiwa kaanguka chini.
Alipokuwa amejeruhiwa na kuanguka chini, Polisi waliendelea kumpiga risasi akiwa amelala chini ambazo nimehesabu na kukuta walimpiga risasi 19. Ajabu ni kwamba kundi lote lile la Polisi walifanikiwa kumpiga pale tu alipoishiwa risasi na kuonyesha wazi alishaamua kufa - maana alijifanya target rahisi sana.
Sasa hili lina maana gani? Ni wazi kwamba polisi wetu hawana weledi katika matukio kama haya, kwa kuwa baada ya kuwa umeona ameishiwa risasi na si tishio tena, jambo la msingi inabidi kuwa ni kumkamata akiwa hai ili kuweza kupata habari zaidi atakapodhibitiwa.
Kwa hiyo Polisi walipaswa kumkaribia kwa umakini katika formation ambayo kunakuwa na askari wanamsogelea wakiwa na silaha tayari, na wengine waanawa-cover askari wanaomsogelea katika kitu tunaita "flanks".
Lakini pia, kuna upande wa pili, kwamba huenda kuna askari walikusudia kumuua ili huyu mtu asitoe taarifa juu ya ugomvi wake na askari, maana mfu haongei!
Kwahiyo kuna conclusion mbili tu hapa, kwamba polisi wetu wako very unprofessional, na pia walikusudia huyu mtu asitoke kwenye hili tukio akiwa hai.
View attachment 1909036
Jw na police tofauti majina tu,Ingekuwa jeiwii asingechukua hata duru huyo na angedakwa mzima mzima
Polisi legelege kabisa raia yupo barabarani eneo la wazi wanashindwa kumpiga mpaka alipoishiwa risasi nimegundua Askari wengi wamefata pesa tu. kazi haipo moyoni njaa zao zinaathiri raiaNimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.
Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu ambaye amejeruhiwa kaanguka chini.
Alipokuwa amejeruhiwa na kuanguka chini, Polisi waliendelea kumpiga risasi akiwa amelala chini ambazo nimehesabu na kukuta walimpiga risasi 19. Ajabu ni kwamba kundi lote lile la Polisi walifanikiwa kumpiga pale tu alipoishiwa risasi na kuonyesha wazi alishaamua kufa - maana alijifanya target rahisi sana.
Sasa hili lina maana gani? Ni wazi kwamba polisi wetu hawana weledi katika matukio kama haya, kwa kuwa baada ya kuwa umeona ameishiwa risasi na si tishio tena, jambo la msingi inabidi kuwa ni kumkamata akiwa hai ili kuweza kupata habari zaidi atakapodhibitiwa.
Kwa hiyo Polisi walipaswa kumkaribia kwa umakini katika formation ambayo kunakuwa na askari wanamsogelea wakiwa na silaha tayari, na wengine waanawa-cover askari wanaomsogelea katika kitu tunaita "flanks".
Lakini pia, kuna upande wa pili, kwamba huenda kuna askari walikusudia kumuua ili huyu mtu asitoe taarifa juu ya ugomvi wake na askari, maana mfu haongei!
Kwahiyo kuna conclusion mbili tu hapa, kwamba polisi wetu wako very unprofessional, na pia walikusudia huyu mtu asitoke kwenye hili tukio akiwa hai.
View attachment 1909036
Huyo angefatwa na armor vehicleIngekuwa jeiwii asingechukua hata duru huyo na angedakwa mzima mzima
Unaongea Kama huna kichwa mtu akiwa na bunduki Kuna mjadala tena,. Hata huo uaskar na mbinu unazozitoa kwa mtu mwenye akili na jins tukio lilivyokuwa atakushangaaNimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.
Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu ambaye amejeruhiwa kaanguka chini.
Alipokuwa amejeruhiwa na kuanguka chini, Polisi waliendelea kumpiga risasi akiwa amelala chini ambazo nimehesabu na kukuta walimpiga risasi 19. Ajabu ni kwamba kundi lote lile la Polisi walifanikiwa kumpiga pale tu alipoishiwa risasi na kuonyesha wazi alishaamua kufa - maana alijifanya target rahisi sana.
Sasa hili lina maana gani? Ni wazi kwamba polisi wetu hawana weledi katika matukio kama haya, kwa kuwa baada ya kuwa umeona ameishiwa risasi na si tishio tena, jambo la msingi inabidi kuwa ni kumkamata akiwa hai ili kuweza kupata habari zaidi atakapodhibitiwa.
Kwa hiyo Polisi walipaswa kumkaribia kwa umakini katika formation ambayo kunakuwa na askari wanamsogelea wakiwa na silaha tayari, na wengine waanawa-cover askari wanaomsogelea katika kitu tunaita "flanks".
Lakini pia, kuna upande wa pili, kwamba huenda kuna askari walikusudia kumuua ili huyu mtu asitoe taarifa juu ya ugomvi wake na askari, maana mfu haongei!
Kwahiyo kuna conclusion mbili tu hapa, kwamba polisi wetu wako very unprofessional, na pia walikusudia huyu mtu asitoke kwenye hili tukio akiwa hai.
View attachment 1909036
Nyingi ziliingia ile sehemu mzigo unakotokea nadhani hasira/woga za polisi wetu zilizidiNimeangalia video juu ya tukio la huyu mtu anaetuhumiwa kuua askari, na kuangalia kilichotokea.
Baada ya kuwa amemaliza risazi katika SMG ya pili aliyokuwa nayo na kunyoosha mikono juu, polisi walimpiga risasi ambayo ilimfanya aanguke chini. Hakukuwa na haja tena kuendelea kumpiga risasi mtu ambaye amejeruhiwa kaanguka chini.
Alipokuwa amejeruhiwa na kuanguka chini, Polisi waliendelea kumpiga risasi akiwa amelala chini ambazo nimehesabu na kukuta walimpiga risasi 19. Ajabu ni kwamba kundi lote lile la Polisi walifanikiwa kumpiga pale tu alipoishiwa risasi na kuonyesha wazi alishaamua kufa - maana alijifanya target rahisi sana.
Sasa hili lina maana gani? Ni wazi kwamba polisi wetu hawana weledi katika matukio kama haya, kwa kuwa baada ya kuwa umeona ameishiwa risasi na si tishio tena, jambo la msingi inabidi kuwa ni kumkamata akiwa hai ili kuweza kupata habari zaidi atakapodhibitiwa.
Kwa hiyo Polisi walipaswa kumkaribia kwa umakini katika formation ambayo kunakuwa na askari wanamsogelea wakiwa na silaha tayari, na wengine waanawa-cover askari wanaomsogelea katika kitu tunaita "flanks".
Lakini pia, kuna upande wa pili, kwamba huenda kuna askari walikusudia kumuua ili huyu mtu asitoe taarifa juu ya ugomvi wake na askari, maana mfu haongei!
Kwahiyo kuna conclusion mbili tu hapa, kwamba polisi wetu wako very unprofessional, na pia walikusudia huyu mtu asitoke kwenye hili tukio akiwa hai.
View attachment 1909036
Makonyo jidanganyeIngekuwa jeiwii asingechukua hata duru huyo na angedakwa mzima mzima
Mavi ya ng'ombe kabsa wewe unaongea au unachat ulishaambiwa jwtz wanafundishwa kukamatwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mdomo ukusaidie kula nakutongozaIngekuwa jeiwii asingechukua hata duru huyo na angedakwa mzima mzima
Maswali yanayoulizwa na mleta mada ni valid tu, kama ilivyo hoja ya uwezekano wa vilipuzi. Kuitana majina ni ujuaji usio na lazima hapa.Hawa keyboard warrior cum experts hawawezi kujiuliza vitu kama hivyo, wanatafuta cha kulaumu tu!
Haya matukio muachane nayo,hayasaidii chochote.kama kufa ashakufa,
Kuhusu weledi wa polisi kukabiliana na mtu kama huyu hili nalo tuwaachie polisi wenyewe.
Hebu fikiria polisi anafanya kazi zaidi ya miaka kumi ila hajawahi kupambana na jambazi ana kwa ana,licha ya kuwa na mafunzo
Tukumbuke:hakuna mafunzo Wala mazoezi kwenye kupigana/au kushambuliana,bali Kuna nafasi moja tu,ya kumpiga adui/mpinzani wako.
Wengi wanahoji kwanini asingekamatwa akiwa hai? Mimi nakataa....
Lazima askari wetu walikuwa makini kuhusu vilipuzi n.k.
Lakini pia,hebu fikiria...yaani wewe unayesoma hii comment unaona Askari wenzio wamepigwa risasi,wamelala
Bado tu una wazo la kumkamata akiwa hai?
Watanzania tuache unafiki,wengi hatuwez