Nimehesabu, Polisi walimpiga Hamza risasi 19 baada ya kuwa ameanguka chini na sio tishio tena kwa usalama

We endelea kupaka hizo ta.ko mafuta tu unawezaje kuthibitisha silaha imeishiwa risas na uko umbali zaid ya mita 100/50? silaha yoyote hata ikiwa na magazine hiyo siyo silaha salama na inaweza kuuwa pia huwez kumsogelea labda aaweke silaha chini
 
Bomu alitoe wapi wakati inasemekana silaha aliwapora polisi wenyewe
Kunyang'anya silaha polisi siyo uthibitisho kuwa hawez kuwa na bomu huyo tayar alishajitoa muhanga alijua ktendo nachoenda kukifanya ni lazma nife hivyo angeweza tu hata kujifunga mabom
 
Ok ni vizuri but how sure u r yule bwana Hamza alikuwa ameishiwa risas muda mwingine sio kuongea tu na kuandika kwa kuwa tuna uhuru uwo wa kueleza hisia zetu polisi ni ndugu zetu na baba na kaka zetu pia Wana moyo na pia ni binadamu kuwa kuwatolea au kikosoa muda wote haijengi sana but ni mtazamo tu
 
Ulijuaje kama risasi ziliisha kwenye bunduki unazifahamu kanuni za umilikaji wa silaha? Kanuni inasema "muda wote amini silaha ina risasi",kitendo cha adui kunyoosha mikono juu ile ni fighting tactical yakumpumbaza unayepambana naye ndio maana polisi hawakutaka kuamini wakaendelea kumshambulia.Hivyo niwape rai musipende kuleta siasa kwenye mambo ambayo yanahatarisha uhai wa watu,ndugu zetu wamekufa aisee acheni use..

msiwafunze kazi polisi wetu wana mbinu zote za kimapigano ila pale ilikuwa ngumu sana kutumia mbinu ya 'close battle' na ndio maana wakamtanguliza yule askar aliyevalia kirai(mwenye pistol/aliyepigwa na adui).
 
Hamza amewatendea watanzania haki ambayo hawajawahi kufaidi tangu CCM kutawala nchi. Pumzika kwa amani mwamba.
 
Umeona eenhh??.Na kukamata wapika gongo.
... na yale madada utamu yanayoanika mautamu barabarani nyakati za giza! Hao ndio wanayapatia kuyarundika kwenye makarandinga kama kuku halafu mbele hapo wanayaachia bila masharti!
 

Waliokuwa wamedhamiria kumwua tu ili waseme yao bila kipingamizi
 
Polisi legelege kabisa raia yupo barabarani eneo la wazi wanashindwa kumpiga mpaka alipoishiwa risasi nimegundua Askari wengi wamefata pesa tu. kazi haipo moyoni njaa zao zinaathiri raia
 
Unaongea Kama huna kichwa mtu akiwa na bunduki Kuna mjadala tena,. Hata huo uaskar na mbinu unazozitoa kwa mtu mwenye akili na jins tukio lilivyokuwa atakushangaa
 
Nyingi ziliingia ile sehemu mzigo unakotokea nadhani hasira/woga za polisi wetu zilizidi
 
Ingekuwa jeiwii asingechukua hata duru huyo na angedakwa mzima mzima
Mavi ya ng'ombe kabsa wewe unaongea au unachat ulishaambiwa jwtz wanafundishwa kukamatwa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mdomo ukusaidie kula nakutongoza
 
Hawa keyboard warrior cum experts hawawezi kujiuliza vitu kama hivyo, wanatafuta cha kulaumu tu!
Maswali yanayoulizwa na mleta mada ni valid tu, kama ilivyo hoja ya uwezekano wa vilipuzi. Kuitana majina ni ujuaji usio na lazima hapa.
 
Wangemkamata hai ungekuja hapa kusifia!
 
Kiujumla Tz hatuna jeshi la Polisi bali tuna genge la wahuni, waporaji na wauaji waliovishwa sare za jeshi.
Jeshi gani weredi sifuri?
Jeshi gani nidhamu sifuri?
Jeshi gani kulenga shabaha sifuri?
 
Mawazo yangu inaniambia huyu jamaa hakuwa gaidi bali ni mwananchi mwenye hasira kali.
Dah! Hasira sometime inaweza sababisha ujiamini na kufanya mambo ya ajabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…