Nimehesabu, Polisi walimpiga Hamza risasi 19 baada ya kuwa ameanguka chini na sio tishio tena kwa usalama

Hiyo video ndio imelivua nguo kabisa jeshi letu la polisi, yaani raia mmoja mwenye silaha aliyesimama wazi barabarani ameweza kuwadhibiti zaidi ya askari polisi 20 waliokuwa wamemzunguka mafichoni, hata baada ya raia huyo kusalimu amri kwa kunyoosha mikono juu bado askari wetu walishindwa kutumia fursa ya kumkamata na kuishia kumminia risasi ovyo ovyo.
 


Hapo kwenye paragraph ya 2 [emoji115] Sasa sijakuelewa, umesema kuhusu weledi wa kukabiliana na adui waachiwe wenyewe polisi?

Una maana gani kusema hivyo?

Unajua polisi Ndiyo wamepewa jukumu la kulinda raia na mali zao kikatiba?

Kwa hiyo watu wakiwa na tashwishwi yoyote wasihoji badala yake wawaachie wenyewe au unamaana kani?
 
Nafikiri polisi wetu wanajua kuact unprofessional na sio Professional that's why hata kwenye kuapply tactics ni Zero Minded.
 
wakisikia mlipuko wanachanja mbuga kuelekea mafichoni
 
Tushukuru Mungu huyu jamaa alikuwa sio gaidi alikuwa na shida na polisi ccm tu,angekuwa gaidi raia zaidi ya mia wangekufa,maana alitamba zaidi ya nusu saa akiwa amezungukwa na daladala kibao zenye abiria


Inategemea bana acheni kuvunga kuwa sio gaidi.


Tusubiri taarifa ya uchunguzi.
 
We endelea kupaka hizo ta.ko mafuta tu unawezaje kuthibitisha silaha imeishiwa risas na uko umbali zaid ya mita 100/50? silaha yoyote hata ikiwa na magazine hiyo siyo silaha salama na inaweza kuuwa pia huwez kumsogelea labda aaweke silaha chini
Unapokea kodi zetu afu unaogopa kufa pimbi wewe wakati uliapa
 
Nyie maboya mnapenda kusifiwa tu mkiyatinganya hamtaki kukoselewa nawaamini mgambo 100% kuliko Polisi legelege
 
Mkuu si kweli kwamba hawana uweledi, hukuona clip walivyo vamia hotel alimokuwepo mbowe mwanza? Labda useme uweledi wao una mipaka! Yaan inasikitisha Sana kuona mtu tayar ameisha ingia kwenye 18 zako bado unamchakaza bila kukumbuka atakusaidia kukupa data
 
Uoga tu.. wanajua atanyenyuka awashambulie
 
Naangaliaga documentary za wenzetu walivyo sharp na wako well traiined,wanawakamata waharifu wazimawazima bila kuua.
Hizi mbulula za bongo zina rukaruka.
Zimezoea kukamata mateja, walevi na waandamanaji,hivyo tu wajuavyo.
 
Wewe ulimuona akinyoosha mikono juu?

Wewe ungeweza kusubiri ushahidi na wenzio amesha waua?
 
Hakuna kitu kibaya kwenye mapambano ya risasi kama kupiga risasi za woga. Kwanza unakosa target. Ingekuwa ni magaidi wenye mafunzo na wako kama watano hivi polisi wengi wangeuawa na ingechukuwa muda mrefu sana kuwashinda. Hebu angalia alipotoka kwenye hicho kibanda yule aliyejeruhiwa alikuwa bado amelala pale pembeni. Ina maana kama angekuwa hajaishiwa risasi angeweza kumuua kirahisi tu.
 
Hawa keyboard warrior cum experts hawawezi kujiuliza vitu kama hivyo, wanatafuta cha kulaumu tu!
Yaani kuna watu wanaongea mashudu hadi unawish waingie kwenye 18 pumbaff!
Mtandaoni kila mtu ni analyst na hajawahi walau kumiliki manati let alone kupigana ngumi za mtaa kwa mtaa!
 
Wewe ulimuona akinyoosha mikono juu?

Wewe ungeweza kusubiri ushahidi na wenzio amesha waua?
Ndiyo maana wao ni Police na mimi ni raia. Kwanza jamaa hakuwa threat that much sababu hakuna na shida na raia..target yake ilikuwa kwa askari tu ambao wako trained..sasa tatizo lipo wapi ndugu.

Excecution haikuwa successful baada tu ya kumuua for my view.
 
Wewe Kwa mfano ndo askari ,ungeaminije kuwa kaanguka Kwa kupigwa risasi na kama angejiangusha je,,bro kila kazi ni ngumu .kuna mtu ukimpa silaha anazimia papo hapo.kwa hiyo msifundishe watu kazi ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…