Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Yeye alikua anatokewa na watu live chumbani wamelala sio nje ya kimaigizo kama yenu hiyo, yani chumbani wamelala mchawi anajitokeza taa inawaka, mwanamke kajifunika buibui jeusi juu mpaka chini huoni hata miguu
Wengine utakuta wanafanyiwa mapenzi wanaamka wamelowa kabisa.
 
yaani kama kwangu aisee,kuna kipindi nilikuwa nikilala kuna milango ya vyumba vingine ilikuwa inajifungua yenyewe ni vyumba vilikuwa havitumiki kabisa
 
yaani kama kwangu aisee,kuna kipindi nilikuwa nikilala kuna milango ya vyumba vingine ilikuwa inajifungua yenyewe ni vyumba vilikuwa havitumiki kabisa
😂😂 Nyumba yako Ina mauzauza khaaa
 
Atakuwa anaamini kwamba upo ila hajawahi kukutana nao. But usiombe ukutane na hiyo balaa, afadhali usimliwe na jirani
Naamini Uchawi ni Imani isiyo na Ukweli wala uhalisia

Imani yoyote unaweza kufanya kile anachoamini mwenye Imani hiyo
 
Uchawi ni real aisee!
 
Kumroga Mzungu Kunahitaji Timing sana!
Hawarogeki Mkuu kwasababu hawaamini kama kuna uchawi wako wa kuweza kuwaroga, wanaamini katika technology na skills

Mzungu anaogopa teknolojia na weledi kuliko uchawi, ukiweza kutengeneza silaha za nyuklia na bunduki za hatari kuliko za kwake atakuogopa lakini sio umwambie utamwendea Sumbawanga kumroga

Utaenda mwaka mzima hakuna chochote
 
Dah yani Dar sie ambao hatuko mlengo wa kushoto wala kulia tunanyanyasika sana yani.
Sometimes unatembea koridoni unaingia toilet usiku. Mlangoni unapopita unaskia msisimko wa ajabu.
Usiogope sana, wakati mwingine ni hisia za kawaida kabisa za mwili. Lakini uchawi pia upo
 
Uchawi ni imani na kumbuka katika mambo muhimu yanaomzunguka binadamu imani ni jambo la muhimu hivyo huwezi kukwepa imani
Jiulize kama uchawi upo kwanini usitumike kufanya mambo kama vile kushinda kitu au hata kupata maendeleo
Sijui kama atakuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…