Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hii imetokea Ghana, na siyo mara moja bali kila mwezi mfululizo, muda mrefu, ilikuwa huyo mdada anaingiliwa kimapenzi kishirikina hadi alipookoka.Kwa hizo story zako tunaomba ushahidi kwamfano hiyo aliyenajisiwa ucku tuambie anaitwa man,anaishi wap,kabla ya kwenda alikuwa ktk haki gan ulevi au kawaida,rabia zake kiujumla zipoje (IQ).
Mara ngapi walimu wana lalamika huko kigoma kufanyiwa vitendo vya kishirikina kama kujikuta wame lala nje , kuchapwa viboko na matukio mengi ya ajabu ajabuHawez kukujibu huyo..wakishakaa kwenye vijiwe nongwa ndio wanaajazana upumbavu wao na story za kusadikikaa...tunaendelea kusisitiza uchawi haupooo
Siamini kwenye maneno waje na proof aisee ... jitu linalewa linaenda kulala nje kesho yake kuua soo anasema kabebwa na wachawiiMara ngapi walimu wana lalamika huko kigoma kufanyiwa vitendo vya kishirikina kama kujikuta wame lala nje , kuchapwa viboko na matukio mengi ya ajabu ajabu
Uchawi hakuna hizo imani tu
USIBISHANE NA MPUMBAVU MKUU ACHANA NAYE ANA LAKE JAMBO TENA HUYU NDIYO MCHAWI MKUBWA ANA KUKEJELI TUMara ngapi walimu wana lalamika huko kigoma kufanyiwa vitendo vya kishirikina kama kujikuta wame lala nje , kuchapwa viboko na matukio mengi ya ajabu ajabu
Kila la dunia hii "uletewe PROOF...🤣Siamini kwenye maneno waje na proof aisee ... jitu linalewa linaenda kulala nje kesho yake kuua soo anasema kabebwa na wachawii
🤣USIBISHANE NA MPUMBAVU MKUU ACHANA NAYE ANA LAKE JAMBO TENA HUYU NDIYO MCHAWI MKUBWA ANA KUKEJELI TU
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] punguza jazba...USIBISHANE NA MPUMBAVU MKUU ACHANA NAYE ANA LAKE JAMBO TENA HUYU NDIYO MCHAWI MKUBWA ANA KUKEJELI TU
Mkuu mbona hua nakuona muelewa sana umekuaje? yaani mtu na familia yake wakalale nje? huo ulevi wangapi wanakunywa na hawali nje ? mpka serikali ina ingilia kati hawajui kama ni ulevi?Siamini kwenye maneno waje na proof aisee ... jitu linalewa linaenda kulala nje kesho yake kuua soo anasema kabebwa na wachawii
Linapokuja swala la uchawi sikubali kuelewa aisee...yani mimi bila mtu aje aniroge haapa tutakesha tukibishana mkuuMkuu mbona hua nakuona muelewa sana umekuaje? yaani mtu na familia yake wakalale nje? huo ulevi wangapi wanakunywa na hawali nje ? mpka serikali ina ingilia kati hawajui kama ni ulevi?
Hivi hao Aliens huwa wanahusishwa na uchawi?...aisee SIKUJUAHATA HASIRA ZIMEKWISHA KWA JINSI ULIVYONISEMA MBAVU SINA ILA UCHAWI UPO TUSIDANGANYANE KABISA HAKUNA ULAYA WALA AFRICA REJEA AREA 51 YA USA KUNANI PALE ?
Mtu mzima..huwa na kiasi ya Maneno..MDOMO WAKO USIPONZE KICHWA CHAKO.Mkuu, wengine hatuna hiyo fear of the unknown ambayo wengine wanayo kwa story za hearsay.
Facts, namshukur Mungu amewah kunionesha kwamba duniani kuna wachawi tangu nikiwa na miaka 8 na nilikuwa nawaona live wakija usiku nyumbani.
Bila kaka wala dada zangu wote kuwaona, so namshukur Mungu my spiritual Identity was ever strong mpaka sasa, ni jambo jema sana....wachawi wapo every now and then....na wanasababisha vitu vya ajabu sana lkn watu hawajui, mtu unaweza pata ajali ya gari yako ukaona ni kawaida tu eti...kwann upate??? Umewah kujiuliza hicho kitu....kwann??? Be brave enough to know inside spiritual world...uta enjoy.
Rafiki yangu tu sio ndugu,ishu ya kumpeleka nchi yoyote hainihusu chief.Alikuwa ni sister wako au??hiyo mganga tunaweza tukampeleka kwenye ile nchi ambayo ina idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume ili awasaidie dada zetu huko??
👍Lakini mtu hatakiwi kuogopa kwa sababu kuna nguvu kubwa zaidi inayopiku na kunyutrolaizi kabisa uchawi, ushirikina, urogaji.
Je unaamini vitabu vya Mungu?Uchawi hakuna hizo imani tu
Hakuna kitu kisicho na limit, anzia hapoMaana ya uchawi kwangu ni wivu na husda tu,ntaamini uchawi siku nikiweza kuroga Atm zitoe pesa ninavyotaka.