Facts, namshukur Mungu amewah kunionesha kwamba duniani kuna wachawi tangu nikiwa na miaka 8 na nilikuwa nawaona live wakija usiku nyumbani.
Bila kaka wala dada zangu wote kuwaona, so namshukur Mungu my spiritual Identity was ever strong mpaka sasa, ni jambo jema sana....wachawi wapo every now and then....na wanasababisha vitu vya ajabu sana lkn watu hawajui, mtu unaweza pata ajali ya gari yako ukaona ni kawaida tu eti...kwann upate??? Umewah kujiuliza hicho kitu....kwann??? Be brave enough to know inside spiritual world...uta enjoy.