Nimehitimisha kwamba watu wasioamini uchawi upo hayajawakuta, na yakiwakuta huteseka bila kupona mpaka kifo

Kwa hizo story zako tunaomba ushahidi kwamfano hiyo aliyenajisiwa ucku tuambie anaitwa man,anaishi wap,kabla ya kwenda alikuwa ktk haki gan ulevi au kawaida,rabia zake kiujumla zipoje (IQ).
Hii imetokea Ghana, na siyo mara moja bali kila mwezi mfululizo, muda mrefu, ilikuwa huyo mdada anaingiliwa kimapenzi kishirikina hadi alipookoka.
 
Hawez kukujibu huyo..wakishakaa kwenye vijiwe nongwa ndio wanaajazana upumbavu wao na story za kusadikikaa...tunaendelea kusisitiza uchawi haupooo
Mara ngapi walimu wana lalamika huko kigoma kufanyiwa vitendo vya kishirikina kama kujikuta wame lala nje , kuchapwa viboko na matukio mengi ya ajabu ajabu
 
Siamini kwenye maneno waje na proof aisee ... jitu linalewa linaenda kulala nje kesho yake kuua soo anasema kabebwa na wachawii
 
USIBISHANE NA MPUMBAVU MKUU ACHANA NAYE ANA LAKE JAMBO TENA HUYU NDIYO MCHAWI MKUBWA ANA KUKEJELI TU
 
Siamini kwenye maneno waje na proof aisee ... jitu linalewa linaenda kulala nje kesho yake kuua soo anasema kabebwa na wachawii
Mkuu mbona hua nakuona muelewa sana umekuaje? yaani mtu na familia yake wakalale nje? huo ulevi wangapi wanakunywa na hawali nje ? mpka serikali ina ingilia kati hawajui kama ni ulevi?
 
Linapokuja swala la uchawi sikubali kuelewa aisee...yani mimi bila mtu aje aniroge haapa tutakesha tukibishana mkuu
 
Facts, namshukur Mungu amewah kunionesha kwamba duniani kuna wachawi tangu nikiwa na miaka 8 na nilikuwa nawaona live wakija usiku nyumbani.

Bila kaka wala dada zangu wote kuwaona, so namshukur Mungu my spiritual Identity was ever strong mpaka sasa, ni jambo jema sana....wachawi wapo every now and then....na wanasababisha vitu vya ajabu sana lkn watu hawajui, mtu unaweza pata ajali ya gari yako ukaona ni kawaida tu eti...kwann upate??? Umewah kujiuliza hicho kitu....kwann??? Be brave enough to know inside spiritual world...uta enjoy.
 
HATA HASIRA ZIMEKWISHA KWA JINSI ULIVYONISEMA MBAVU SINA ILA UCHAWI UPO TUSIDANGANYANE KABISA HAKUNA ULAYA WALA AFRICA REJEA AREA 51 YA USA KUNANI PALE ?
Hivi hao Aliens huwa wanahusishwa na uchawi?...aisee SIKUJUA
 
Facts, namshukur Mungu amewah kunionesha kwamba duniani kuna wachawi tangu nikiwa na miaka 8 na nilikuwa nawaona live wakija usiku nyumbani.

Bila kaka wala dada zangu wote kuwaona, so namshukur Mungu my spiritual Identity was ever strong mpaka sasa, ni jambo jema sana....wachawi wapo every now and then....na wanasababisha vitu vya ajabu sana lkn watu hawajui, mtu unaweza pata ajali ya gari yako ukaona ni kawaida tu eti...kwann upate??? Umewah kujiuliza hicho kitu....kwann??? Be brave enough to know inside spiritual world...uta enjoy.

Dah! Kumbe wana uwezo wa kumsasabishia mtu Ajali na Maradhi? Wao hawakugundua km unawaona?
 
Alikuwa ni sister wako au??hiyo mganga tunaweza tukampeleka kwenye ile nchi ambayo ina idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume ili awasaidie dada zetu huko??
Rafiki yangu tu sio ndugu,ishu ya kumpeleka nchi yoyote hainihusu chief.
 
Uongo wa uchawi hakika unatia kichefu chefu, mbona wachawi wasiloge tukachukua hata World Cup
 
Back
Top Bottom