Tunabishana pale tunaposhindwa kueleweshana na hatimaye kuelewanaNadhani hatubishani.
Uchawi ni nguvu za giza (kwa kifupi), ni uwezo zaidi ya ule wa kawaida wa kibinadamu.
Uchawi kama uchawi hauonekani kwa macho, ila utendaji wake unaonekana jinsi watu wanavyoathirika na kuteseka na kufa pia.Umeenda mbali kabisa na swali nililouliza. (OQ)
Nimekuuliza uko wapi huo uchawi wewe umenitajia Damu ya Yesu.
Umeuona uchawi au Umeamini hivyo?Uchawi haunaga mlango mmoja aisee! Lengo la uchawi ama nguvu za giza ni kuvuruga kabisa mfumo wa dunia, kuwachanganya wanadamu, na kuwaangamiza. Sasa mbinu zinatofautiana. Watoto wanaweza kurithishwa uchawi, au kurushiwa uchawi na jamaa zao. Wanaweza pia kutolewa kafara.
Umeshindwa kunifafanulia huo uchawi?Sahizi usiku acha nilale nasinzia wewe endelea na waturutumbi wenzio.
Ukitulia utaelewa aisee. Hakuna tamaduni ama mfumo wa dunia usiotikiswa na nguvu ya giza. Mtu yeyote anaweza kutumika agent wa uchawi awe ni Mzungu ama Mwarabu au Afrika. Uchawi hauchagui, ni universal. Usidhani penye elimu na maendeleo na utajiri hakuna uchawi. Usikute sehemu kama hizo ndizo zenye uchawi uliokubuhu.Umeuona uchawi au Umeamini hivyo?
Mfumo wa dunia unavurugwa na uchawi mbona mfumo wa dunia ya ulaya na Asia kwa sehemu kubwa upo vizuri?
Mbona mifumo mibaya ipo zaidi Africa tu? Au uchawi sio Universal case?
Mbona hospital walishindwa?Hizo ni imani tu na wenge lenu usiku
Hakuna kitu kama hicho (uchawi)
uyo mtoto aliyekuwa kipofu, kiziwi nk apelekwe hospitali utapewa chanzo na nini kifanyike
Sasa hapo hujaona utendaji ni UMEAMINI TUUchawi kama uchawi hauonekana kwa macho, ila utendaji wake unaonekana jinsi watu wanavyoathirika na kuteseka na kufa pia.
Haha 😂 😂Mkuu nakubaliana na wewe na siku zote aisimuliae mvua ujue imemnyeshea.
Ni hatari sana kukana kwamba nguvu za giza na uchawi haupo; hapo unakuwa katika uwezekano mkubwa wa kuathiriwa ama hata kudhuriwa na nguvu za ushirikina bila wewe kujua.Story za kusadikika hizo. Hata mimi naweza kuandika kisa hapa kuhalalisha uwepo wa uchawi ila haimaanishi kuwa hiyo story ni ya kweli. Story zote za uchawi ni hearsay, mtu anasimuliwa nae anaenda kusimulia by the time story inamrudia muasisi ishabadilika na kuongezewa chumvi zaidi.
Aidha sio kila kitu ambacho hakina rational explanation ni uchawi.
Uchawi ni story zinazoaminiwa na wavivu wa kufikiri na kuenezwa na wajinga.
For sureSi lazima uamini katika dini yoyote ndipo upate uthibitisho wa uwepo wa uchawi. Hata watu wanaokana uwepo wa Mungu, bado wanatambua kabisa kuna uchawi.
''Ukisema usikute sehemu hizo ndizo zina....''Ukitulia utaelewa aisee. Hakuna tamaduni ama mfumo wa dunia usiotikiswa na nguvu ya giza. Mtu yeyote anaweza kutumika agent wa uchawi awe ni Mzungu ama Mwarabu au Afrika. Uchawi hauchagui, ni universal. Usidhani penye elimu na maendeleo na utajiri hakuna uchawi. Usikute sehemu kama hizo ndizo zenye uchawi uliokubuhu.
Wewe unashindwa kutambua kuwa issue ya ukoloni kuna waafrica pia walikuwa wana wakamata waafrica wenzao na kuwa uza kwa wakoloni ..haulijui kabisa hilo ....then uchawi sio makalio kusema kila mtu anao au anaujua -- issue ya uchawi ni deep secretKwanini hawakuwaroga wakoloni wafe au wawe walemavu?
Ni hatari sana kukana kwamba nguvu za giza na uchawi haupo; hapo unakuwa katika uwezekano mkubwa wa kuathiriwa ama hata kudhuriwa na nguvu za ushirikina bila wewe kujua.
This thing is very real; usibishe, afadhali sema hujui au hujakutana nayo. Nguvu za giza zinatenda kazi kwa njia nyingi sana na mbalimbali.Tunabishana pale tunaposhindwa kueleweshana na hatimaye kuelewana
Hizo nguvu ulizipimaje na kujua ni zaidi ya uwezo wa kibinadamu?
How did u measure that?
Habari ya kuwakamata waafrika wenzao na kuwauza kwa wazungu (puppertism) ni contrary issue wala haihusiani na mada hiiWewe unashindwa kutambua kuwa issue ya ukoloni kuna waafrica pia walikuwa wana wakamata waafrica wenzao na kuwa uza kwa wakoloni ..haulijui kabisa hilo ....then uchawi sio makalio kusema kila mtu anao au anaujua -- issue ya uchawi ni deep secret
Huko unaenda mbali sana. Wewe unajua kwa nini & umefikaje hapa duniani? Why kati ya mbegu zote countless za kiume moja tu iliyotunga mimba yako ndiyo imefanikiwa wewe ukapatikana? Sasa usiseme tu chochote maana hakuna mwanadamu anayeshi tu purely kwa uwezo wake mwenyewe.Hivyo vitisho mnatoa sana ila tukiwaambia mturoge mnashindwa.. Tuokoe nguvu na muda niroge au tafuta mchawi aniroge badala ya kunipa vitisho hewa.
Wachukue tu mkuu ukakae nao maskani mwakoNawachukua Sana wachawi.
Hivi wewe unasoma kabla ya kuquote?This thing is very real; usibishe, afadhali sema hujui au hujakutana nayo. Nguvu za giza zinatenda kazi kwa nyingi sana na mbalimbali.
Huko unaenda mbali sana. Wewe unajua kwa nini umefikaje hapa duniani? Why kati ya mbegu zote countless za kiume moja tu iliyotunga mimba yako ndiyo imefanikiwa wewe ukapatikana? Sasa usiseme tu chochote maana hakuna mwanadamu anayeshi tu purely kwa uwezo wake mwenyewe.