stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Sio imani tu mkuu, uchawi upo hata ulaya, uchawi upo mpaka kwenye vitabu vya dini umezungumzwa sana kuwa ulikuwepo, sasa ukisema haupo ni kama vile unajitoa ufahamu tu. Mimi niliwahi kuishi sehemu moja Kigoma, ili ufike kwenye mlango mkubwa wa kuingia ndani unapandisha ngazi kama kumi hivi, sasa ilikuwa ikifika mida ya kuanzia saa 4 usiku utasikia mtu anapandisha ngazi mpk anafika pale mlangoni, na anabisha hodi ukifingua hakuna mtu,tulikwenda mpaka tukazoea tukawa hatufungui.Hizo ni imani tu na wenge lenu usiku
Hakuna kitu kama hicho (uchawi)
uyo mtoto aliyekuwa kipofu, kiziwi nk apelekwe hospitali utapewa chanzo na nini kifanyike
Kuna usiku mmoja nakumbuka tulikuwa sitting room tunaongea usiku tukasikia vyombo vimedondoka jikoni kwenye sink la kuoshea vyombo, wote tuka pay attention kwenda kuangalia, cha ajabu tukakuta hakuna hata chombo kimoja kilichoguswa, kwahiyo ndugu hii kitu ipo sana.