Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

jmn, haya maswali mbona kashayajibu

msimchoshe mwenzenu

muacheni augulie maumivu yake
 
Watu kutofautiana, kuna wengne camera ni vitu tofauti, binafsi simu yangu haina picha niliyopiga mwaka huu, mara ya mwisho kujipiga picha nahisi mwaka juzi..

Hapa nilipo sina picha ya gari yangu na sijui nitaipiga lini,hivyo usimuone ni muongo ama mjinga,ndivyo alivyo.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jamaa anataka picha simu zote zenye picha zimeibiwa niko na renew line ntacheki icloud na gmail ila jamaa ananishangaza sijui anatetea nini?
 
Halafu wakikamatwa na kuuawa Kuna watetezi wa haki za binadamu wanaanza kuleta ujinga
Aliyeweka sheria hakua mjinga kama unavyofikiria.Mapungufu ya vyombo vyetu vya ulinzi na kusimamia haki yasikufanye ukaja na mawazo ya aina hiyo.
 
Hali ikiwa hivyo unavyofikiria ata wewe inawezekana ikakukuta ukiwa ni muhanga wa kuuawa bila makosa.Tusipende kuwaza kienyeji sana kwenye mambo yanayohusu uhai wa mtu kwasababu madhara yake ni makubwa kuliko faida.Tuvipe vyombo vyetu uwezo wakufanya kazi kwa weledi tofauti na hapo yoyote yanaweza kumkuta mabaya kwanamna moja au nyingine.
 
Toa ujinga wako hapa.


Hujawahi kuibiwa
 
Kuuawa sio adhabu, kifungo kinacho ambatana na mateso ndio dawa yao
Sisi mtaani kwetu ukikamatwa umeiba au kuvamia Nyumba ya mtu tunakukorogea Cement kikombe kimoja unanyweshwa. Unaenda kufia mbele.
 
Wengi humu hamuelewi kuwa huyu amevamiva nyumbani na silaha na kutemeshwa kila kitu mpaka funguo za gari...

Pole sana,
kama una nyumba yako na maisha ya kati, kwanini usimiliki silaha kihalali ya kujilinda.... sababu mpaka wamekuvamia walihakikisha uko vizuri kimaisha...
 
Duh .... Yaani akazane kuandika uzi akilalamika kuibiwa gari halafu useme ni story za kutunga?!
 
Wameiba na s imu zoooteee picha hii nimeipata kwenye tablet ya mtoto
Hao wezi nahisi wanajua mtu hapo ndani au walishayasoma mazingira kwa muda mrefu.

Kimsingi mwizi ambaye anakuja anakusanya chochote kilichopo mbele ya macho yake huyo ni mwizi anaejifunza.

Haya majitu kuyakamata itakuwa rahisi sana mkicheza na intelligence ya mind of a criminal. Hawa hata sio kazi kuwashika. Inabidi msitumie akili nyingi. Clues zitakuwa kila sehemu na mtawakamata bila shida.

By the way, gari ilikatiwa bima kubwa au 3rd party tu?!
 
Ga
Gari imeibiwa unapewa kikaratasi kama hichi ovyo kabisa haitoshi kuonesha ushahidi wa kiusalama kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…