Nimeibiwa gari na majambazi nyumbani, msaada tafadhali

Nimeshawahi kuibiwa gari najua machungu yake. Nilifuatilia sana nilitumia pesa mpk ningeweza kununua hata gari nyingine ndogo na nilichemsha. Mpaka leo sijaipata ila nilifanikiwa sanq kuuelewa mfumo wa wezi wa magari na ushirika wao na wazee

Wazee ndio michongo yao hiyo hata ile ya kuvamia mtu akiwa katoka kutoa pesa bank ni michongo ya wazee na mateller wanaotaka kutembelea harrier tako la nyani huku wakijenga mansion makongo juu
 
Ni gari aina ya pajero io nyeupe T893 DWT maeneo ya bahari beach wameiba vitu vingi atakayeona msaada tafadhali gari haina mafuta ya kutosha kwa hiyo itakuwa imezima njiani popote namba ya mawasiliano 0655385246

View attachment 1999715
Ikivuka usiku wa leo kesho utakuta vipuri vipo madukani haya majizi ni ya kuua
 
Wazee ndio michongo yao hiyo hata ile ya kuvamia mtu akiwa katoka kutoa pesa bank ni michongo ya wazee na mateller wanaotaka kutembelea harrier tako la nyani huku wakijenga mansion makongo juu

Hao madogo wa bank waulize kama waliendelea na ile michezo baada ya kutaitiwa mmoja mmoja.
unapotezwa tu halafu mwenzio kesho anaukimbia mji anaenda kuishi kama digidigi na wengine wanaotamani kuingia kwenye huo upimbi wanafuta kabisa hayo mawazo..
 

Hizi gari za zamani sidhani kama hata zina Immobilizer.

Hizi gari mtu anaweza kuiba bila hata funguo....
 
Pole sana..

Ushauri:
Tufungeni GPS jamani kwenye gari zetu, japo kidogo husaidia yanapotokea majanga km haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…