Nimeibiwa kuku wa nyama

Asanteni 🙏🏽🙏🏽

Yan total waliyoniibia ni kuku 208
208x6500=1,352,000
Kiulainiiii kmmm


Yan wale wanatumia dawa plus kukuzubaisha kila mtu anakuongelesha huyu anakushauri hivi huyu hivi yani maneno mengi
 
Asanteni 🙏🏽🙏🏽

Yan total waliyoniibia ni kuku 208
208x6500=1,352,000
Kiulainiiii kmmm


Yan wale wanatumia dawa plus kukuzubaisha kila mtu anakuongelesha huyu anakushauri hivi huyu hivi yani maneno mengi
Usilalamike chukua hatua mapema sana watakulipa hiyo hela yote na fidia juu. Kwanini udhurumike kizembe ?
 
Pole, umetapeliwa. Usiache biashara, Ongeza umakini, mambo kama haya ndo yanakukomaza, ukisikia nina mtu anasema ana uzoefu wa miaka 20 kwenye hii shughuli maana yake ndo kama hivi kuwa amepitia mengi na yakamfunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…