Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

Fafanua, ‘Hukufunga’ au ‘HukuLock’? Maana hivyo ni vitu viwili tofauti. Mimi walivunja kioo kabisa wakalamba Laptop zangu mbili majuzi tu, halafu mafike mengi hayakuwa na backup, nikiteseka sana. Dawa yao nimeweka tinted.
 
Choko ww

 
Wewe ni muongo kama waongo wengine tu. Hii habari yako haina uhalisia.
 
Hufungwi.

Hivi Stand kubwa kama Magufuli haina cameras?

Bila shaka wanayo. Nenda wakuangalizie. Pengine wanaweza wasitambulike ila ikakuhakikishia usalama wako.

Ila ulichokifanya ni uzembe wa hali ya juu.

Uza crown lipa pesa za ofisi.
Hiyo sentence ya mwisho ndio hasa.
 
Fafanua, ‘Hukufunga’ au ‘HukuLock’? Maana hivyo ni vitu viwili tofauti. Mimi walivunja kioo kabisa wakalamba Laptop zangu mbili majuzi tu, halafu mafike mengi hayakuwa na backup, nikiteseka sana. Dawa yao nimeweka tinted.
Wewe unaweza kuoewa pole. Kuvunja ni issue nyingine

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Umeibiwa sh milioni tano au umeota umeibiwa sh milioni tano?
 
Lengo ni kututangazia kwamba umenunua gari na kwamba ulikuwa na 5m.

Unasahauje kufunga mlango wa gari likiwa na hela ndani.

Hata hivyo hongera kwa kununua gari.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Huyu hajawahi kumiliki gari, hana mke na wala hana milioni tano si ajabu hata hajawahi zimiliki. Nyuzi zake zinamueleza
 
Pole sana. Hiyo ndiyo bongo nyoso.
Uwezekano wa kuipata pesa hiyo ni mdogo sana.
Weka gari kama dhamana ili upate 5m.
Pole sana
Or else amuweke mkewe bondi kwa mwezi 1 kwa njembafogo ampe 10ml, 5ml alipe Manispaa na 5ml nyingine mtaji wa maisha. Kama ngumukumeza hiyo basi panda karandinga miaka 7 ukale nguna (bondo) la bure na siku ukirudi unakuta njembafogo limekuzalishia totoz.

If risk equals investment don't invest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…