Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

Nikiwa na laki tano tu mfukoni nakuwa makini mno, sembuse milioni tano? Unakuwaje mzembe kihivyo...ni vigumu kukuelewa ila pole.
Uza gari fasta ukalipe deni, uendelee na kazi. Maana hiyo pesa utalipishwa tu kwa namna moja ama nyingine.
Pole sana unatuliza akili kabisa kwa unyenyekevu kumshauri mpumbavu kama huyu?
 
Mimi story za kukopi na kupaste sipendi..
Watu mnajihangaisha kutoa ushauri[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi siku hizi imefikia hatua nyuzi kama hizi nikimaliza kusoma naenda kwenye profile yake naview threads zake kama zipo nijiridhishe anachosema kama vinaendana halafu nichangie...

Nikiona ni njia ya yeye kupata viewer na comments napita kama sijauona..

Maana humu ndani sasa hivi vurugu nyingi sana.
 
Toa tarifa kituo Cha karibu, wengine tuchukue funzo tusonge mbe"re"
 
Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.

Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife alikuwa anaelekea kondoa huko kwao kusalimia na pesa niliziweka kwenye briefcase yangu sasa nikashuka na wife kwenda kumsindikiza kwenye gari ABM coach la Dodoma nikasahau kufunga mlango wa gari aisee lahaula kurudi nikakuta mlango upo wazi briefcase yangu haipo na kila kila kitu hakipo na halafu ukizingatia hizo pesa ni za mapato ofisini nilikuwa napeleka ofisi za halmashauri x😩😩😩😩😩

Wakuu naombeni kama kuna mtu ataiona please mnicheki Pm tafadhali wakuu.

Nafwa nitafungwa mie😫😫😫
Kama mtu ataiona briefcase?
 
Nilitaka kumwambia mtoa mada aje na iyo crown apa kariakoo niikague kama imenyooka nimpe iyo millioni 5 arudishe halmashauri cha ajabu nimesoma uko juu kwa wafukunyuzi kuwa ni stori za abunuasi 🚩🚩

shikamoo JF
 
Pole sana Mkuu....
Hapo mkurugenzi atakukata tu kwenye mshahara hadi liishe.. very sorry!
 
Nilitaka kumwambia mtoa mada aje na iyo crown apa kariakoo niikague kama imenyooka nimpe iyo millioni 5 arudishe halmashauri cha ajabu nimesoma uko juu kwa wafukunyuzi kuwa ni stori za abunuasi 🚩🚩

shikamoo JF
Haya mengine ni matangazo ya biashara, watu wanajitangaza wajulikane wanatembea na milioni tano kwenye briefcase ili wafuatwe PM.
 
Ngoja nikalete maandazi kabla haijapoa.
Hali ya jamaa asaivi👇👇👇
images - 2023-10-26T152927.857.jpeg
 
Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.

Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife alikuwa anaelekea kondoa huko kwao kusalimia na pesa niliziweka kwenye briefcase yangu sasa nikashuka na wife kwenda kumsindikiza kwenye gari ABM coach la Dodoma nikasahau kufunga mlango wa gari aisee lahaula kurudi nikakuta mlango upo wazi briefcase yangu haipo na kila kila kitu hakipo na halafu ukizingatia hizo pesa ni za mapato ofisini nilikuwa napeleka ofisi za halmashauri x[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]

Wakuu naombeni kama kuna mtu ataiona please mnicheki Pm tafadhali wakuu.

Nafwa nitafungwa mie[emoji31][emoji31][emoji31]

Hii ni Karma tunavosema ajira ajira kwa vijana ! Nyie mnatumbua serikalini…
Tukisema vijana wasio na ajira n tishio mtaani mnaona ss wehu kisa nyie mnaishi mitaa na nyumba zenye electric fence

Leo madhara na kwenu viongozi yamewafikia…
Bado tutaongea lugha moja
 
Kama bado hujazipata,njoo fasta pm tuzungumze namna ya kukutoa kifungoni na pesa za sirikali,crown nanunua kwa 8.5 cash
 
uza hiyo Crown upeleke pesa za watu otherwise utafungwa kwa kupoteza fedha za umma kwa uzembe wako mwenyewe
 
Kumbe ukiwa Jobless ndo unapata muda wa kutunga tunga uongo muda wote mtandaoni?
 
Huyu anajaza uzi tu. Maelezo yake hayajitoshelezi. Kupaki gari uache mlango wazi sio rahisi kama hamna mtu alieuzuia usilock. Pia pale pana CCTV ungekuja hapa kutuambia unamtafuta mwizi na picha sawa. Halafu ulipaki gari wapi, maegesho ya Stand au uliona kulipia jau ukatafuta kasehemu ukaiacha.
NB: mnatu confuse, uliposema gari nikajua gari kweli kumbe chombo cha moto. Gari haina bodi ukiipiga inalia kama paa la ngumba.
 
Back
Top Bottom