Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chai ya alkasusu [emoji1787][emoji1787]Hapo ndipo nilipojua ni chai, majuzi tu nilidondosha walleti ikiwa na elfu60 nilihisi kichwa kuwaka moto Hadi Leo naugulia
Papuchi bana ,haijawahi kumuacha mtu salama.Pole ndugu yangu hayo ndo masaibu yetu wanaume.Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.
Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife alikuwa anaelekea kondoa huko kwao kusalimia na pesa niliziweka kwenye briefcase yangu sasa nikashuka na wife kwenda kumsindikiza kwenye gari ABM coach la Dodoma nikasahau kufunga mlango wa gari aisee lahaula kurudi nikakuta mlango upo wazi briefcase yangu haipo na kila kila kitu hakipo na halafu ukizingatia hizo pesa ni za mapato ofisini nilikuwa napeleka ofisi za halmashauri x[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Wakuu naombeni kama kuna mtu ataiona please mnicheki Pm tafadhali wakuu.
Nafwa nitafungwa mie[emoji31][emoji31][emoji31]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kashikaji uwa ni kaongo sana kana visa vingi vya kusadikika ila kubwa kuliko kamewahi kusema kana Bipolar disorder hivyo tulikashauri na dawa kukapa.
Hivyo kachukulieni kama kalivyo tu.
pole sana,hiyo pesa sahauSijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.