Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

Ni $ 5M au ni 5M Tsh ?

Ikiwa ni hizi hela za madafu ni vijisent tu hivyo, vitafute urudishe hela ya watu.

Uliyataka mwenyewe kwa kuacha mlango wazi Magufuli bus terminal makao ya vibaka.
 
Crown sh ngapi Hio kama vipi kesho tumalize biashara?
 
nafikri miongoni mwa mahari ambapo hapana uangalizi wa kutosha ni Ile stand, kama wiki 3 hivi nlikiwa na safari kwenda mkoa jiran

nmefika pale nakasalimiana na wat kama 2 ila 1 akanielekeza wrong site entry kwa kuingia Kwa wale waliofika pale wanajua unapita kwa N-card sasa wakati narudi kwenda upande sahihi nikawa namlaum yule alie nielekeza sehem ambayo haikustahili

na kunawale wafanyakazi wakawa wananiomba msamha rahaulaaa! sasa kumbe ndyo mda nnapigwa bila kujijua, nmekuja fika kwenye gari ili nitoe nauli aseee hakuna hela kwenye mfuko bahati nzr nlihifadhi hela sehem tofauti,

kiukwel walinivulugia bajeti, kwa ujumla pale kunawizi ambao ukiachia uzembe wa kusahau kufunga mlango nadhni ndyo sehem hatari zaidi kwa Jiji la dar kuibiwa.

ushauri pamoja na mmlaka kufanya jitihada za kuwaondoa wapiga debe ambao wamejaa msululu kuanzia stand ya daladala mbez mpaka unaingia magu terminal ni vyema abilia kuficha mbali hela zao na ukiweza usiongee na mtu yeyote mpka unafika kwenye basi husika..

B
 
Kama ni kweli we nenda kituo cha polisi hapo hapo Mbezi utoe taarifa ya wizi. Kwani hapo stand si utakuwa umewashirikisha viongozi wa hapo I mean mkuu wa kituo cha polisi au mkuu wa kituo cha mabasi hapo.

Hawawezi kukufunga sbb ya milioni tano lakini taarifa utoe leoleo..hakuna anayejua kesho patatokea nini kama zimeibiwa sasa wewe watakufungaje labda wakukate kidogo kidogo kwenye mshahara..

Hapo Mbezi ni balaa watu muwe makini wezi ni wengi
 
Sijui ni karma au ni nini mpaka sasa wala sijui nifanyeje daaah nashindwa sijui nifanyeje wakuu na hapa ninapoandika navuja machozi nipo kwenye gari langu nimepaki nalia mwenyewe wakuu.

Nilifika na gari langu dogo aina ya Toyota crown athelete(namba za usajili kapuni) nilikuwa namsindikiza wife alikuwa anaelekea kondoa huko kwao kusalimia na pesa niliziweka kwenye briefcase yangu sasa nikashuka na wife kwenda kumsindikiza kwenye gari ABM coach la Dodoma nikasahau kufunga mlango wa gari aisee lahaula kurudi nikakuta mlango upo wazi briefcase yangu haipo na kila kila kitu hakipo na halafu ukizingatia hizo pesa ni za mapato ofisini nilikuwa napeleka ofisi za halmashauri x[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]

Wakuu naombeni kama kuna mtu ataiona please mnicheki Pm tafadhali wakuu.

Nafwa nitafungwa mie[emoji31][emoji31][emoji31]
Halmashauri siku hizi wanapokea cash , ???
 
Hufungwi.

Hivi Stand kubwa kama Magufuli haina cameras?

Bila shaka wanayo. Nenda wakuangalizie. Pengine wanaweza wasitambulike ila ikakuhakikishia usalama wako.

Ila ulichokifanya ni uzembe wa hali ya juu.

Uza crown lipa pesa za ofisi.
Mpuuzitu huyu


 
1. Wezi ni mradi wa Mafisadi.

2. Wapigadebe ni mradi wa Mamwinyi.

3. Panyaroad wanafanya kazi ya Wababe waliowatuma.

4. Wala ngada ni wateja wa Barons.

Namba 1 - 4 Lords wao wana mtandao na warasimu kwenye mfumo rasmi na usio rasmi.

Kumaliza kadhia hii ni ndoto, watapunguza tu spidi ku-retreat baadaye wanarejea.
 
Mimi nawekaga kwenye spare tyre ikiwa haina upepo. Nacheza na saikolojia za wezi maana pesa zina harufu.
 
Nikiwa na laki tano tu mfukoni nakuwa makini mno, sembuse milioni tano? Unakuwaje mzembe kihivyo...ni vigumu kukuelewa ila pole.
Uza gari fasta ukalipe deni, uendelee na kazi. Maana hiyo pesa utalipishwa tu kwa namna moja ama nyingine.
 
Mleta mada acha uongo
Au unaleta copy and paste?
Nyie ndio mnafanya JF ionekane kama kijiwe cha wauza kahawa uongo na ushabiki maandazi mwingi kuliko ukweli.

Maombi yangu kwa Mungu uibiwe kweli na hata mkeo adinywe kwa kwenda mbele na nyuma.
 
Choko ww


Tuanze hapa mume ulipata anakusukuma tope mpk unasahau kifunga milango ya gari View attachment 2793579

Kumbe unatafuta attention View attachment 2793581
Ni kwamba wanakuwa hawajui kuwa kuna uwezekano wa kuangalia nyuzi zao zilizopita au ni kujitoa ufahamu tu??
 
Mpuuzitu huyu


Ahaa... kumbe mkuu Mzimu wa Kolelo umetag post ya Koses ya May 21, 2023 ambayo alipost akionyesha yeye ni mwanamke anatafuta mwanaume jobless kumjoin London, leo anapost akiwa mwanaume aliyeibiwa ela kwenye briefcase Magufuli Bus Terminus akimsindikiza mkewe kupanda basi la kwenda Kondoa.

Kwahiyo Koses ni Hermaphrodite!

Astaghafilullah Wahariri waongezwe JF ili kuchuja, kubaini na kukataa posts za kuchafua watu na taasisi.
 
Choko ww

Kumbe jamaa choko tu
 
Mleta mada acha uongo
Au unaleta copy and paste?
Nyie ndio mnafanya JF ionekane kama kijiwe cha wauza kahawa uongo na ushabiki maandazi mwingi kuliko ukweli.

Maombi yangu kwa Mungu uibiwe kweli na hata mkeo adinywe kwa kwenda mbele na nyuma.
😂😂
 
Back
Top Bottom