Nimeibiwa milioni 5 Stendi ya Mabasi ya Magufuli

Sijui kuna mitutusa inajifunza kuchangia mada na kutoa ushauri...
 
Mara leo umeacha kazi umeanza umachinga baada ya siku mbili umepewa hela za Halmashauri mkononi sielewi ni mazingira gani utakua na pesa ya Serikali mkononi yaani zitoke OC huko harafu wakupe mkononi? Labda Halmashauri za Somalia.
 
Papuchi bana ,haijawahi kumuacha mtu salama.Pole ndugu yangu hayo ndo masaibu yetu wanaume.
 
Kashikaji uwa ni kaongo sana kana visa vingi vya kusadikika ila kubwa kuliko kamewahi kusema kana Bipolar disorder hivyo tulikashauri na dawa kukapa.

Hivyo kachukulieni kama kalivyo tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
pole sana,hiyo pesa sahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…