Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulifanyafanyaje mkuu,maana mara nyingi polisi huwa hawatoi ushirikiano kabisa.Karipoti polisi mkuu...hamalizi wiki huyo wanamkamata...siku hizi kuna kitengo cha cyber crime wako vizuri balaaaa. Mi nilibiwa iphone 6, kuna kifaaa wanacho polisi kina lokate popote ulipo...mwizi wangu alikutwa bar na simu
haha mkuu mtu kama huyo wala haishi ludewa unakuta yuko hapa hapa dar...kumkamata huyo jamaa inabidi apatikane mtu ajifanye kapenda bidhaa zake na anataka kununua alaf awe anaishi hukohuko ludewa ili amseti wakutane wamkamate.
Unawezakuta ni mzoefu atafurahijeSiku ambayo mtatia mikononi wakati wa kum mimina tafadhali naomba munijulishe wadau nimuandalie ky mbili zile za 250gm akione cha moto haina haja ya kumpeleka polisi huyo ni kumf******R* mwanzo mwisho ***** zake huyo
Hili jeshi linatakiwa lithibitishe kama ni mfanyakazi wake au la, kwa kuwa anaharibu picha ya Kamishna wa Zimamoto. Au Jeshi la Zimamoto wasaidie upatikanaji wa huyu jamaa ila kujenga taswira zuri kwa jamii.Mkuu nimeona kama icho kitambulisho ni cha jeshi la zimamoto na ukoaji na sio la polisi mkuu.
Pole kwa yaliyokukuta mkuu.
Mkuu nime Kupm Huyu! Tatizo la huyu jamaa hivyo vitu so hata mtu akatokea amependa bidhaa ake na akataka kuonana nae haitawezekana hata kubali atataka kuonana nae ili amuoneshe nini hasa lakini kama tuna Email ake na Namba zake za simu tunashindwaje kumkamata na Sahizi Polisi wanavyo Penda sifa! Huyu tutamkamata Tuu sema watu hapa watoe ushirikiano tujue tunafanyaje!Nimefanya screen short muweze jionea jinsi majibizano na mr mhagama yalivyokua
Kitambulisho kitakua bandia cha kugushi,mbona vinatengenezwa sana tu?Amekuingiza mjini......Ungeshirikisha akili zako ungemstukia tu.
Bila shaka anatumia jina na kitambulisho cha mtu mwingine kufanya uhalifu.
laki Tano? na unajua anapo tolea pesaHuyu mwana alimpiga dogo langu laki 5 sasa..Na huyu jamaa nimemfuatilia sana pessa anatolea DSM place N hide huyu jamaa soon ntamkamata
Wakati macbook used USA ni $350-800 na sio TZ ! !huyu jamaa hastahili kupewa pole akomeMkuu ni bora iwe cash kama unauza kitu. Na kama unanunua usikubali kutoa hela kabla hujauona mzigo.
Huyu jamaa inaonekana ni mtu wa tamaa sana.
Mcbook for $100??? Be serious !!
Tena watakuwa jipu kama agent wanatakiwa kubaini nani mwenye bidhaa na ni nani ni tapeli ili kuongeza imani kwa wateja wao. Mbona ebay watu wanafanya biashara vizuri tena kutoka mbali na unapata bidhaa yako kamiliHao kupatana nao watakuwa hovyo kama watu wanatumia mtandao wao kwa utapeli