Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
aise kilichonifurahisha ni signature yako hii ya kuhusu maarifa na pia kujua kuwa hujui ndio kujua kwenyeweNi Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
hebu tufafanulie kidogo maana ya PINLaini za Tigo hazina pini, Halotel pekee ndo wameweza kueeka pin kwenye Laini hata voda wameshindwa.
Huwa wanaenda kwa Mawakala. Wale wana connection na wafanyakazi wa tigo. Anapewa number ya siri ya mteja mzigo unapigwKuna kibaka mmoja, alikua akiiba tu simu cha kwanza ni kutoa hela iwe tigo iwe voda cha kwanza anafanya muamala.....
Sijui hata ni akili gani zinatumika.
Kuna kipindi serikali ilizitaka kampuni za simu kuweka PIN kwenye laini ili kulinda wateja,mfano ukinunua laini mpya inakuwa tayari na PIN,unabadilisha unaweka ya kwako,hiyo inakusaidia pale unapoibiwa simu au laini,mtu akitaka kuweka hiyo laini yako kwenye simu nyingine au kama simu yako ikazima, inamlazimu kuweka PIN ya laini...hii inazuia mwizi au mtu asiyehusika kutumia laini yako kama ukiibiwa au kupoteza bahati mbaya.... Halotel wanayo huduma hii kwenye laini zao mpya,ila Tigo na Vodacom bado laini zao hazina hiyo option.hebu tufafanulie kidogo maana ya PIN
Inawezekana asee, na inawezekana pia hao mawakala huwa wanapata mgao.....Huwa wanaenda kwa Mawakala. Wale wana connection na wafanyakazi wa tigo. Anapewa number ya siri ya mteja mzigo unapigw
Duuh hatari vipi aliwafuatiliaMshikaji wangu aliibiwa 2.9 million baada ya simu kuibiwa. Tigo wa mnashirikiana ma wezi
Mitandao yote IPO hiyo huduma ila ni optional..unaweza Kuweka au kuacha..Kuna kipindi serikali ilizitaka kampuni za simu kuweka PIN kwenye laini ili kulinda wateja,mfano ukinunua laini mpya inakuwa tayari na PIN,unabadilisha unaweka ya kwako,hiyo inakusaidia pale unapoibiwa simu au laini,mtu akitaka kuweka hiyo laini yako kwenye simu nyingine au kama simu yako ikazima, inamlazimu kuweka PIN ya laini...hii inazuia mwizi au mtu asiyehusika kutumia laini yako kama ukiibiwa au kupoteza bahati mbaya.... Halotel wanayo huduma hii kwenye laini zao mpya,ila Tigo na Vodacom bado laini zao hazina hiyo option.
Kuna baadhi ya nchi ni Kosa kisheria kutokuweka Number za siri kwenye simu yako na Simcard..kabla ya kulaumu tigo,why laini yako haina PIN??usalama unaanza na wewe...tofauti na kuibiwa ipo siku laini yako itatumika vibaya.
Hajasema alitoa taarifaTigo no majambazi. Kama ulitoa taarifa line ifungwe basi hao hao wahudumu wamepita nayo.
Nimefika ofisini kwao sikupata msaada zaidi ya kuambiwa niripoti polisiPole sana ila mbona tigo kwenye swala la ulinzi wa pesa wapo vizuri matatizo yapo Kwa Vodacom na airtel
Uduma gani hiyoNi Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
Weka 1234,ikikataa block sim card omba PUK,Umekumbusha jambo la msingi wengi PIN hatuweki, hapa nimejaribu kuturn on inaanidai PIN ya mwanzo ambayo hata siikumbuki!
ni 0000, hiyo ni ya mwanzo then unachange. Mimi nimeweka sasa hivi kwenye kiswaswadu changu maana wakinipiga hapa wamenimalizaUmekumbusha jambo la msingi wengi PIN hatuweki, hapa nimejaribu kuturn on inaanidai PIN ya mwanzo ambayo hata siikumbuki!
Shukran ngoja nijaribuni 0000, hiyo ni ya mwanzo then unachange. Mimi nimeweka sasa hivi kwenye kiswaswadu changu maana wakinipiga hapa wamenimaliza
Ana pepo la utambuziKuna kibaka mmoja, alikua akiiba tu simu cha kwanza ni kutoa hela iwe tigo iwe voda cha kwanza anafanya muamala.....
Sijui hata ni akili gani zinatumika.