kitowowoti
JF-Expert Member
- Feb 25, 2016
- 756
- 510
Ukitunza pass word vizuri hata Shetani haingii 👺Watakushinda...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitunza pass word vizuri hata Shetani haingii 👺Watakushinda...!
Kwamba mtu yoyote anaweza omba na akapewa, ni a
Kuna mdogo aliniambia broo mzembe nikamwambia leta simu yako nikajarb kutoa hela line wakaifunga nikapiga simu huduma kwa wateja nikasema nimesahau no siri wakaniuliza maswali ya kitoto nikajibu wakanitumia pin reset 0000 nikamuuliza vip nitoe pesa akabak atoa macho tuKwamba mtu yoyote anaweza omba na akapewa, ni hatari.
Kuna jamaa yangu wakala anabadili no ya siri yako bila hata kukuuliza chochoteKwa hili Tigo watawajibika. Ndiyo kampuni ya kwanza nimekuwa nayo kabla zingine hazijaanza. Haiwezekani pesa zangu zipotee hivi hivi. They are custodians. Siyo niende ofisini wananiambia nikaripoti polisi.
Please Sana, inawezekana mwizi alipata taarifa zako muhimuNimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua laini mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye taarifa mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Poor securityNi rahisi sana kujua nida namba kama namba yako kaijua, mfano naenda kwa wanaosajili lain nawaambia nataka kusajili laini lakin nida namba nmepoteza, msajil atasema unakumbuka namba yeyote ambayo umeisajili kwa nida yako, mm najbu ndio! halaf nataja namba ambayo nimeiba, msajil akiingiza tu hyo namba nida namba zako zote zpo uchi had hapo zoez linalofata had kuiba hela kwenye tgopesa akaunt n kama kumsukuma mlevi tu.
Nilishaibiwa simu tatu nikaripoti polisi hazikupatikanaNenda cyber crime ripoti ila kimsingi ni lazima uwe nazo
Anajua password yako ndio maana ametoaNimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Hata hapa Tz hiyo sheria ipoKuna baadhi ya nchi ni Kosa kisheria kutokuweka Number za siri kwenye simu yako na Simcard..kabla ya kulaumu tigo,why laini yako haina PIN??usalama unaanza na wewe...tofauti na kuibiwa ipo siku laini yako itatumika vibaya.
Kama uliweka namba zinazo jirudia, ama za simu hata za mwaka wako wa kuzaliwa ni rahisi kuzikisia hizo namba zako za siri mfano 2424, 2580Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Ameijuaje??Anajua password yako ndio maana ametoa
Nothing of the sort. HapanaKama uliweka namba zinazo jirudia, ama za simu hata za mwaka wako wa kuzaliwa ni rahisi kuzikisia hizo namba zako za siri mfano 2424, 2580
Wezi wavsimu wanashirikiana na watu wa mitandaoni. MTU wa mtandaoni hu reset pin yako ya mpesa na kumpa access mwizi atengeneze pin aitakayo na kufanya miamalaNimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Ni kweli, ilishanitokea namimiTigo ni majambazi. Kama ulitoa taarifa line ifungwe basi hao hao wahudumu wamepita nayo.
Yes unakuta aliweka namba au kupiga picha kitambulisho cha NIDA akaweka kwenye simu. Mwizi akipata taarifa zako ni rahisi akiingia kwenye MENU ya Tigo pesa kule kwenye kubadili password watamuuliza aweke namba ya NIDA akiweka hiyo wanaifyatua.Ni Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
Nakumbuka walinibambikia mkopo wa muda wa maongezi wa sh 1000 mara mbili. Nikajiuliza walifanya hivyo Kwa wateja wake wote nchi nzima itakuwa wanapata pesa ndefu sana. Ili line niliitupa waliponibambikia mara ya pili.😄Tigo at it again.
Kampuni ina kashfa za udukuzi bado unang’ang’ana tu.
Kule hata wafanyakazi wake wa IT lazima wanatoa hizo taarifa.
Kampuni ya hovyo sana. Wengi humo wanajikuta ni wana usalama.
Umemuuliza unayeishi naye?Kuwa mjanja.Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Nida ni rahisi Sana kuipata nenda kwa hao wasajili line muombe Nida yako atakuuliza swali moja tu, namba yako ya simu Kisha anakupa Nida yakoHuyu mwizi kapata wapi NIDA yangu?
AnakujuaAmeijuaje??