Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

Kwamba mtu yoyote anaweza omba na akapewa, ni a

Kwamba mtu yoyote anaweza omba na akapewa, ni hatari.
Kuna mdogo aliniambia broo mzembe nikamwambia leta simu yako nikajarb kutoa hela line wakaifunga nikapiga simu huduma kwa wateja nikasema nimesahau no siri wakaniuliza maswali ya kitoto nikajibu wakanitumia pin reset 0000 nikamuuliza vip nitoe pesa akabak atoa macho tu
 
Mtu akiwa na namba yako ya simu ni rahisi kuipata NIDA yako...
Rejea Kwa mawakala wanaosajiri line
 
Ni rahisi sana kujua nida namba kama namba yako kaijua, mfano naenda kwa wanaosajili lain nawaambia nataka kusajili laini lakin nida namba nmepoteza, msajil atasema unakumbuka namba yeyote ambayo umeisajili kwa nida yako, mm najbu ndio! halaf nataja namba ambayo nimeiba, msajil akiingiza tu hyo namba nida namba zako zote zpo uchi had hapo zoez linalofata had kuiba hela kwenye tgopesa akaunt n kama kumsukuma mlevi tu.
Poor security
 
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Anajua password yako ndio maana ametoa
 
Kuna baadhi ya nchi ni Kosa kisheria kutokuweka Number za siri kwenye simu yako na Simcard..kabla ya kulaumu tigo,why laini yako haina PIN??usalama unaanza na wewe...tofauti na kuibiwa ipo siku laini yako itatumika vibaya.
Hata hapa Tz hiyo sheria ipo
 
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Kama uliweka namba zinazo jirudia, ama za simu hata za mwaka wako wa kuzaliwa ni rahisi kuzikisia hizo namba zako za siri mfano 2424, 2580
 
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Wezi wavsimu wanashirikiana na watu wa mitandaoni. MTU wa mtandaoni hu reset pin yako ya mpesa na kumpa access mwizi atengeneze pin aitakayo na kufanya miamala
 
Ni Rahisi sana mtu akiweza kupata NIDA yako.Tigo wana huduma ya Kuweka Upya PIN kwa kutumia NIDA namba ambayo maswali yake wakala wao wa usajili anaweza kujibu na kufyatua Password yako Fasta.Nashauri TIGO waondoe hiyo huduma
Yes unakuta aliweka namba au kupiga picha kitambulisho cha NIDA akaweka kwenye simu. Mwizi akipata taarifa zako ni rahisi akiingia kwenye MENU ya Tigo pesa kule kwenye kubadili password watamuuliza aweke namba ya NIDA akiweka hiyo wanaifyatua.

Nb; alipoibiwa pale pale angetafuta mtu baki mwenye tigo wapige simu huduma kwa wateja Waifunge laini.
 
Tigo at it again.

Kampuni ina kashfa za udukuzi bado unang’ang’ana tu.

Kule hata wafanyakazi wake wa IT lazima wanatoa hizo taarifa.

Kampuni ya hovyo sana. Wengi humo wanajikuta ni wana usalama.
Nakumbuka walinibambikia mkopo wa muda wa maongezi wa sh 1000 mara mbili. Nikajiuliza walifanya hivyo Kwa wateja wake wote nchi nzima itakuwa wanapata pesa ndefu sana. Ili line niliitupa waliponibambikia mara ya pili.😄
 
Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
Umemuuliza unayeishi naye?Kuwa mjanja.
 
Back
Top Bottom