chinchilla coat,
Mkuu haya ni maoni ya watu ambayo sio lazima yafanane na watu wengine au yawe ndio ukweli au tuite facts.
Namba siku zote hutoa majibu halisi, angalia namba au takwimu hizo hapo chini uangalie rating za baadhi ya series maarufu. Rating ndio huamua series flani iendelee kuoneshwa kwenye TV au isitishwe,
Rating ndio hufanya watayarishaji na wadhamini waendeleena hiyo project,
Rating huchochea dau kubwa la pesa za kudhamini kuoneshwa kwenye media mbalimbali kwa vile lazima uwape watu kitu wanachokipenda ili wadhamini watangaze biashara zao vizuri.
Rating: 8.3/10 - 440,147 votes -Prison break
Rating: 8.5/10 - 175,001 votes - Money heist
Rating: 8.3/10 - 164,963 votes -24
Rating: 9.5/10 - 1,282,274 votes -Breaking bad
Rating: 8.6/10 - 79,606 votes -Making A Murderer
Hiyo Preason break yako imepitwa na Money Heist.
Rating zote toka chanzo kimoja IMDb website.
Acheni kuita mapenzi yenu binafsi kuwa ndio sahihi.
Baba lao ni Breaking Bad hiyo Prison Break inafuatia mbali, imepitwa hadi na hiyo Money Heist kama rating zinavyo onesha hapo juu..