Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,157
- 1,413
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukajua atakutajia 24 [emoji23]
Dah, aisee achaKama bongo movie vile mkuu, hahaha!
Baada ya Into the Badlands na Game of Thrones sijaona series nyingine tena ya kunishawishi kukaa kitako na kuifuatilia.
Unforgetable
Hahaa, hadi season 3? Season moja inatosha kui judge series
Halafu season 1 nilivyoiangalia kwa kujisukuma sijui hiyo season 3 ningeimaliza lini
Niki download series huwa na kawaida ya kuangalia season one nzima ndani ya siku moja au mbili, automatically najikuta nikikesha tu kuiangalia sababu inakolea sana,
ila hii Money Heist kuangalia episode moja ilikuwa inanichukua hata wiki nzima
Wewe utakuwa ni police tu. Wale wale walioifungia bongo daressalaam ya dude. Eti kisa tu haiwezekan dude anaiba tu lkn hakamatwi 😂😂😂Hahaa, hadi season 3? Season moja inatosha kui judge series
Halafu season 1 nilivyoiangalia kwa kujisukuma sijui hiyo season 3 ningeimaliza lini
Niki download series huwa na kawaida ya kuangalia season one nzima ndani ya siku moja au mbili, automatically najikuta nikikesha tu kuiangalia sababu inakolea sana,
ila hii Money Heist kuangalia episode moja ilikuwa inanichukua hata wiki nzima
Game of throne inahusu nini wajameni
Yupo,tapeli tapeli sana huyu mtu,ana ka spy kake amekatuma kum photo Sechaba ili am blackmail,kadem kana takle la ukweli aisee.
labda preference tu, mi imegoma kabisa ku clickWewe utakuwa ni police tu. Wale wale walioifungia bongo daressalaam ya dude. Eti kisa tu haiwezekan dude anaiba tu lkn hakamatwi 😂😂😂
Hizo zote nmeaangalia ebu ongeza zingineAngalia breaking Bad, Game of Thrones(kama ni ladha yako) , The Wire, Narcos, Narcos Mexico, The Boardwalk Empire, jaribu hizo chache ukizipenda njoo nikuongezee nyingine
Duh, mzee basi we noma, inaonekana tunapenda vitu vinavyofanana, hebu nishirikishe na za kwako,Hizo zote nmeaangalia ebu ongeza zingine
naunga mkono hoja .tumkaribishe HDAchana na series za kipuuzi. Deal na Isidingo tu maisha yawe mepesi