Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

Hahaa, hadi season 3? Season moja inatosha kui judge series
Halafu season 1 nilivyoiangalia kwa kujisukuma sijui hiyo season 3 ningeimaliza lini

Niki download series huwa na kawaida ya kuangalia season one nzima ndani ya siku moja au mbili, automatically najikuta nikikesha tu kuiangalia sababu inakolea sana,

ila hii Money Heist kuangalia episode moja ilikuwa inanichukua hata wiki nzima

Na mimi movie ikigoma yaan itanichukua muda au wiki kumaliza lakin kuna movie ukiangalia weee hata usingizi haukuji
 
Hahaa, hadi season 3? Season moja inatosha kui judge series
Halafu season 1 nilivyoiangalia kwa kujisukuma sijui hiyo season 3 ningeimaliza lini

Niki download series huwa na kawaida ya kuangalia season one nzima ndani ya siku moja au mbili, automatically najikuta nikikesha tu kuiangalia sababu inakolea sana,

ila hii Money Heist kuangalia episode moja ilikuwa inanichukua hata wiki nzima
Wewe utakuwa ni police tu. Wale wale walioifungia bongo daressalaam ya dude. Eti kisa tu haiwezekan dude anaiba tu lkn hakamatwi 😂😂😂
 
Yupo,tapeli tapeli sana huyu mtu,ana ka spy kake amekatuma kum photo Sechaba ili am blackmail,kadem kana takle la ukweli aisee.

Hivi kuna watu mnafuatilia ISIDINGO?

Duh hivi itaisha lini maana ata ilianza lini sijui.
 
Pengine uendelee tu kutazama bongo movie,majini yanavuka barabara yanaangalia kulia kushoto yasigongwe na magari
 
Hizo zote nmeaangalia ebu ongeza zingine
Duh, mzee basi we noma, inaonekana tunapenda vitu vinavyofanana, hebu nishirikishe na za kwako,

vipi kuhusu Fargo? The Sopranos, Dexter, Oz.. Nimeangalia chache coz mimi ni selective sana kuhusu series, nikiona zina uongo uongo natupilia mbali hata kama ni popular kiasi gani, ndio maana hata hii Money Heist imenishinda
 
Prison break
Narcos
Money heist
Queen of South

Kama kuna zingine za kufanana na hizo nishitue
 
chinchilla coat,
Mkuu haya ni maoni ya watu ambayo sio lazima yafanane na watu wengine au yawe ndio ukweli au tuite facts.
Namba siku zote hutoa majibu halisi, angalia namba au takwimu hizo hapo chini uangalie rating za baadhi ya series maarufu. Rating ndio huamua series flani iendelee kuoneshwa kwenye TV au isitishwe,
Rating ndio hufanya watayarishaji na wadhamini waendeleena hiyo project,
Rating huchochea dau kubwa la pesa za kudhamini kuoneshwa kwenye media mbalimbali kwa vile lazima uwape watu kitu wanachokipenda ili wadhamini watangaze biashara zao vizuri.

Rating: 8.3/10 - ‎440,147 votes -Prison break

Rating: 8.5/10 - ‎175,001 votes - Money heist


Rating: 8.3/10 - ‎164,963 votes -24

Rating: 9.5/10 - ‎1,282,274 votes -Breaking bad

Rating: 8.6/10 - ‎79,606 votes -Making A Murderer

Hiyo Preason break yako imepitwa na Money Heist.
Rating zote toka chanzo kimoja IMDb website.

Acheni kuita mapenzi yenu binafsi kuwa ndio sahihi.
Baba lao ni Breaking Bad hiyo Prison Break inafuatia mbali, imepitwa hadi na hiyo Money Heist kama rating zinavyo onesha hapo juu..
 
Back
Top Bottom