Ulikuwa wapi jamani
Sawa mkuu nimefurahi kukuonaMi nipo my dear ila majukumu yamekuwa mengi tu. Ila nipo
Sawa mkuu nimefurahi kukuona
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukikua utaacha utoto
Kiongozi kumbe wewe jirani yetu kabisa.karibu ipuli, mtaa wa freemason
Kweli aisee.Ukikua utaacha utoto
Mambo gani sasa na wewe?,kumbuka kuwa si kila king'aacho ni dhahabu.mie sio wa tabora,, mie mtoto wa pwani,, lugha ya kawaida mkuu,, yaan namaanisha yale mambooo
macho yanantoka kweliii,,, pulizo za ujazooo,,[emoji23]
nisharudi dada[emoji23]Nipo kaka angu kipenzi uwe makini tu huko tabora hawakawiii kukubakisha mtupu dada zako tunakupenda sana
nisharudi mkuu, nlienda one tymTabora nishdaaah kuna uhazir hapo shauli yako
mkuu sijavunja sheriaYamtokayo mtu mdo awazayo
Huyu anawaza wanawake tu
nlishaondoka mkuuUsisahau soksi mkuu
Upo mitaa ipi mkuu, maana mindio natokea hapa Mwafrika, naelekea Shimoni Bar...Totoz chebwa chebwa,, mchele mdogo ila nyama nyingiiii,, totoz chebwa chebwa,,,
mkuu nlikaa sana pale zero, alafu nikaamia kwa nyuma pale ktk mnara, kuna ka pub kalikuwa kanapiga mziki, nlijificha pale na ile mvuaOya nakuja kukuona