Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

Uwe makini watoto hao kwa limbwata hawajambo kabisa.Tena wengi ni watoto wa shehe.
 
[emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ndo mambo ya kwetu Mboka Manyema. Wengi huwa wakija kwa shughuri zao huwa hawaondoki Tabora. Angalia mkuu Usije kuwa wa hapahapa. Karibu Mboka mkuu [emoji23]
lazima nirudi tena, ivi pale karibia na kitete hosp ile ni hifadhi ya wanyama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…