Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kumbe ulikuwa unamuamini Lijuakali?!

Yule kaogopa ushindani ulioko jimboni kwake, mwenyewe akatuambia 2015 alishinda kwa msaada wa mkurugenzi, sasa kwa akili ya kawaida utajua tu huyu mtu ni sawa na hakushinda ule uchaguzi, alifanya wizi, na akatuthibitishia wizi wake, na kwa ulafi wake wa madaraka akaona aombe hata ufagizi ofisi za lumumba.

Yale yote aliyoongea kumhusu Mbowe alitumwa aseme vile, sasa hivi kuna watu wanamuendesha kama mwanasesere wao, japo akitokea mbele ya press anajidai kukunja uso aonekane yuko serious.
 
Hongera sana,kwanza kwa kuchukua muda wako kusoma,pili kwa kuweza kusoma katiba ya chama kingine tofauti na mrengo wako,tatu kwa kuwa mkweli wa kile ulichokielewa.
ZABURI 1:1 - 6

" Heri Mtu Yule Asiye Kwenda Katika Shauri La Wasio Haki, Wala Hakusimama Katika Njia Ya Wakosaji, Wala Hakuketi Barazani Pa Wenye Mizaha, Bali Sheria Ya Bwana Ndiyo Impendezayo, Na Sheria Yake Huitafakari Mchana Na Usiku, Nae Atakuwa Kama Uliopandwa Kandokando Ya Vijito Vya Maji Uzaao Matunda Yake Kwa Majira Yake Wala Jani Lake Halinyauki, Na Kila Alitendalo Litafanikiwa".
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
Hujasikia ujanja uliotumika kukasimisha madaraka? Mihtasari imehifadhiwa itaongea tu.
 
CCM imesahau majukumu yake miaka nenda rudi,kazi kubwa inayofanya ni kuiangamiza Chadema ,kitu ambacho hawakuwaeleza wananchi kwamba ndio kipaumbele chao
 
Hujasikia ujanja uliotumika kukasimisha madaraka? Mihtasari imehifadhiwa itaongea tu.
Oooohoo hiyo rushwa sasa. Mtawaponza signatories , Mwenyekiti, Katibu Mkuu na idara ya fedha, kuwa walitoa pesa kukopesha mtu bila kibali cha Kamati Kuu.
 
Mkuu chama kikiwa na wanachama dhaifu na wanaomuona kiongozi wao mungu MTU basi hapo katiba inabaki kuwa maandishi tu katiba halisi anakuwa huyo Mwenyekiti.

Upopoma wa wanachama wa CDM ndo umempa mamlaka ya ziada Bwana Mbowe.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
Sisi tunataka Pccb wafanye kazi iliyowazi ukweli ulijulikane. Maana Witara alisema wajumbe wa kamati kuu walikuwa wanapigwa pesa ili ufisadi ufanyike.
Kwani ulishaona taasisi yoyote ina katiba inayorusu matumizi mabaya ya fedha? Lazima mazingira ya kukwapua fedha yatengenezwe.
 
Sisi tunataka Pccb wafanye kazi iliyowazi ukweli ulijulikane. Maana Witara alisems wajumbe wa kamati kuu walikuwa wanapigwa pesa ili ufisadi ufanyike.
Kwani ulishaona taasisi yoyote ina katiba inayorusu matumizi mabaya ya fedha? Lazima mazingira ya kukwapua fedha yatengenezwe.
Kaisome katiba ya Simba SC bwashee!
 
Mkuu chama kikiwa na wanachama dhaifu na wanaomuona kiongozi wao mungu MTU basi hapo katiba inabaki kuwa maandishi tu katiba halisi anakuwa huyo Mwenyekiti.
Upopoma wa wanachama wa CDM ndo umempa mamlaka ya ziada Bwana Mbowe.
Na mahamani watasema hivyo hivyo kwamba wanachama ni " dhaifu"?!!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
Siku hizi umekosa uzalendo,,au umeanza kutumika,,,hujui kuwa mbowe Ni adui mkubwa Sana,,na lazima azibitiwe kwa vyovyote,,,
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!

Wamesema mwenyekiti ni signatory, kama anabisha ajitokeze abishe watu wamwage mboga,
Na kama katiba haimruhusu kuwa signatory basi asijitokeze siku zingine kusema wengine eti wanavunja katiba,
Pamoja na wabunge wake wasijekusema wengine wanavunja katiba wakati mwenyekiti wao anavunja lakini hawamkemei.
 
Back
Top Bottom