Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

Bwashee wewe unatetea nini? Katiba ni makaratasi tu yanawekwa pembeni basi!

Kwani tunaposema watu mafisadi huwa katiba zao zinawaruhusu kufisadi?
 
Bwashee wewe unatetea nini? Katiba ni makaratasi tu yanawekwa pembeni basi!

Kwani tunaposema watu mafisadi huwa katiba zao zinawaruhusu kufisadi?
Bwashee mimi simtetei mtu bali napenda katiba ziheshimiwe.

Kwa mfano katiba za makanisa ya kilokole Askofu/ Nabii/ Mtume ndio kila kitu kwa mujibu wa katiba zao hivyo huwezi kusikia kuna ufisadi unafanyika hata hela ya sadaka ikinunua chopa binafsi ya mtume!
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.

Kama aliweza kuondoa ukomo kienyeji tu bila vikao halali kukigusa hicho kipengele kwenye mabadiliko ya katiba itakuwa hilo la pesa ambalo kote amejaza watu wanaomuabudu?
 
Lakini atawashinda kwa mujibu wa sheria!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
Vip katiba hiyo INA mahali wanaruhusu Madai ya Mikopo hewa?
Ina mahali wanaruhisu unyanyasaji kwa kingono??

Au tangu Lini umewahi ikifanya kazi hiyo Katiba yao???

Mimi naamini katiba yao ingefanya kazi vizuri Basi Leo hii wangekuwa wameshanunua ama Kujenge Of is I ya Makao Makuu na za Mkoa
 
Hujasikia ujanja uliotumika kukasimisha madaraka? Mihtasari imehifadhiwa itaongea tu.
Hivi ile ripoti ya wizi wa mali za CCM imefikia wapi? Ile kamati nakumbuka alikuwemo Bashiru Ally na Albert Chalamila.
 
Sisi tunataka Pccb wafanye kazi iliyowazi ukweli ulijulikane. Maana Witara alisema wajumbe wa kamati kuu walikuwa wanapigwa pesa ili ufisadi ufanyike.
Kwani ulishaona taasisi yoyote ina katiba inayorusu matumizi mabaya ya fedha? Lazima mazingira ya kukwapua fedha yatengenezwe.
 
Hivi ile ripoti ya wizi wa mali za CCM imefikia wapi? Ile kamati nakumbuka alikuwemo Bashiru Ally na Albert Chalamila.
Chama makini kinachukua hatua za ndani sio kungoja wanachama walalame na hatua hazichukuliwi sababu tu viongozi wezi hawaguswi.
 
Chama makini kinachukua hatua za ndani sio kungoja wanachama walalame na hatua hazichukuliwi sababu tu viongozi wezi hawaguswi.
Mimi nauliza tu. maana naona mnasahau ya nyumbani kwenu na kushadadia ya wengine. Hizo hatua za ndani ni zipi?
 
K
Kwani mkuu signatory huwa mtu mmoja kwenye taasisi mwenyekiti hawezi kuwa na pawa hivyo kwamaana mhasibu hufuatasheria ila baadaye lawama isiwe kwake

Mtoa mada kasema, katiba haionyeshi kuwa mwenyekiti anakuwa miongoni mwa ma signnatories, sasa kama yumo ina maana hakufata sheria.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
Jana almanusura Yule mpuuzi Waitara acheeze makofi
 
Back
Top Bottom