Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

Kwa jibu lako hili hivi CCM ni ya nani hasa kati ya wenye mikia na waliokatwa mikia?
Swala sio CCM ya nani, bali wezi wanachukuliwa hatua, hata kushushwa cheo ni hatua. Udhibiti wa rasilimali za chama ni hatua. Mnakubaliaje mali za chama kuwa na hati za umiliki za mtu binafsi. Kesho akiwadai mmekodishwa mtalilia wapi?
 
Sisi tunataka Pccb wafanye kazi iliyowazi ukweli ulijulikane. Maana Witara alisema wajumbe wa kamati kuu walikuwa wanapigwa pesa ili ufisadi ufanyike.
Kwani ulishaona taasisi yoyote ina katiba inayorusu matumizi mabaya ya fedha? Lazima mazingira ya kukwapua fedha yatengenezwe.
Karibuni tena
 
Mkuu hukusikia kamati flani zinazo idinisha vitu ikiwemo inayo idhinisha matumizi ya pesa flani ziliombwa kuteuwa wawakilishi wachache sababu za kubana matumizi?

Hao wachache waliowakilisha unaambiwa ndiyo watu wa karibu wa Mwenyekiti, na kati yao hawakatwi mishahara yao kama wengine?

Kabla hujatetea kitu rudi kawasikilize Waitara na Lijualikali.
Hizo ndio hadidu za rejea za wana Lumumba. Kwa mwelekeo wa aina hii tutegemee maendeleo kweli. Mzee wa Chato na Mtumbua macho wataendelea kufanya watakavyo.
 
Swala sio CCM ya nani, bali wezi wanachukuliwa hatua, hata kushushwa cheo ni hatua. Udhibiti wa rasilimali za chama ni hatua. Mnakubaliaje mali za chama kuwa na hati za umiliki za mtu binafsi. Kesho akiwadai mmekodishwa mtalilia wapi?
Kwani kujibu hilo swali kuna gharama yoyote? Wewe umesema walioiba mali za CCM wamekatwa mikia. Sasa walipokatwa hiyo mikia walienda wapi? Kama wamo humo humo ndani ya CCM ndio nauliza je, CCM ni ya nani kati ya walikatwa mikia na wenye mikia? Si ujibu tu swali mambo yaishe? Mbona nikikuuliza Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nani utajibu haraka tu. Kwani kigugumizi cha nini?
 
Kumbe ulikuwa unamuamini Lijuakali?!

Yule kaogopa ushindani ulioko jimboni kwake, mwenyewe akatuambia 2015 alishinda kwa msaada wa mkurugenzi, sasa kwa akili ya kawaida utajua tu huyu mtu ni sawa na hakushinda ule uchaguzi, alifanya wizi, na akatuthibitishia wizi wake, na kwa ulafi wake wa madaraka akaona aombe hata ufagizi ofisi za lumumba.

Yale yote aliyoongea kumhusu Mbowe alitumwa aseme vile, sasa hivi kuna watu wanamuendesha kama mwanasesere wao, japo akitokea mbele ya press anajidai kukunja uso aonekane yuko serious.
Kwan yasemwayo juu ya Lijualikali ni kweli au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kujibu hilo swali kuna gharama yoyote? Wewe umesema walioiba mali za CCM wamekatwa mikia. Sasa walipokatwa hiyo mikia walienda wapi? Kama wamo humo humo ndani ya CCM ndio nauliza je, CCM ni ya nani kati ya walikatwa mikia na wenye mikia? Si ujibu tu swali mambo yaishe? Mbona nikikuuliza Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nani utajibu haraka tu. Kwani kigugumizi cha nini?
Kama una maradhi ya kutotambua hili ni jibu au la, mie nitakusaidiaje. Umezoea kulishwa kwa kijiko?
 
Kwani wewe kujibu tu swali unaona nini? Narudia swali: Kwa maelezo yako umesema walioiba mali za CCM wamekatwa mikia ndani kwa ndani na siyo hadharani na hamkusubiri watu wapige kelele, sawa sasa CCM ni ya nani kati ya wale wenye mikia na wale waliokatwa mikia?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
Asante P
 
Ngoja Takukuru Wamalize mahojiano uje kusema Mbowe kaonewa

JIWE anahanya sana na CHADEMA, Mbatia kawa msaliti kwa demokrasia yetu
 
Mtoa mada kasema, katiba haionyeshi kuwa mwenyekiti anakuwa miongoni mwa ma signnatories, sasa kama yumo ina maana hakufata sheria.
Lakini kwa ufahamu wako na msema kweli siyo kiitikadi unaona japo ni uchungu wa fedha au ni mtu anatafutiwa sababu kama ccm kweli kinapendwa na kina uhakika wakushinda nguvu zote.hizo za nini there something wrong
 
Chadema imejimaliza yenyewe, msitafute mchawi, kama chadema ingekuwa na umoja wala hakuna chama kinaweza kuwaingilia, ila ubinafsi ndio upo kwa viongozi wakuu.
 
Mkuu chama kikiwa na wanachama dhaifu na wanaomuona kiongozi wao mungu MTU basi hapo katiba inabaki kuwa maandishi tu katiba halisi anakuwa huyo Mwenyekiti.

Upopoma wa wanachama wa CDM ndo umempa mamlaka ya ziada Bwana Mbowe.
Sawa sawa na Magufuli alivyoigeuza Tanzania kama Mali yake kutokana na udhaifu wa wadaganyika
 
Wamesema mwenyekiti ni signatory, kama anabisha ajitokeze abishe watu wamwage mboga,
Na kama katiba haimruhusu kuwa signatory basi asijitokeze siku zingine kusema wengine eti wanavunja katiba,
Pamoja na wabunge wake wasijekusema wengine wanavunja katiba wakati mwenyekiti wao anavunja lakini hawamkemei.
Na Mkimshindwa katika hili kinachofuata watu wenu kutoa ushauri wa kumpiga Mbowe risasi kama Lisu.
 
Back
Top Bottom