Nimeipitia katiba ya CHADEMA hakuna namna Mwenyekiti anavyoweza kugusa fedha ya chama bila baraka za kamati kuu

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
Aya lete uthibitisho unaoonyeshabkuw mwnyekiti kagusa hio pesa
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
Madhabahu ya River side ubungo inajua haya?
 
Sisi tunataka Pccb wafanye kazi iliyowazi ukweli ulijulikane. Maana Witara alisems wajumbe wa kamati kuu walikuwa wanapigwa pesa ili ufisadi ufanyike.
Kwani ulishaona taasisi yoyote ina katiba inayorusu matumizi mabaya ya fedha? Lazima mazingira ya kukwapua fedha yatengenezwe.
Kwahiyo ukwapuaji unatengenezwa na katiba au..acheni upimbi ninyi ccm..umeshawahi kuhoji matumizi ya ccm?? Kwa mwezi ccm ruzuku wanapokea sh ngp.??
 
Wamesema mwenyekiti ni signatory, kama anabisha ajitokeze abishe watu wamwage mboga,
Na kama katiba haimruhusu kuwa signatory basi asijitokeze siku zingine kusema wengine eti wanavunja katiba,
Pamoja na wabunge wake wasijekusema wengine wanavunja katiba wakati mwenyekiti wao anavunja lakini hawamkemei.
Hata wewe unaweza kuwa signatory bwashee!
 
Mkuu nimeanza kupata wasiwasi na Wewe toka unipige kamba kuwa Nccr mageuzi aliuza katiba yake Chadema [emoji1]

Bwashee nimekuvulia kofia

Mara mrema mpinzani wa kweli
Sheria na siasa ni vitu viwili tofauti bwashee bia yetu!
 
Usimpe hongera,hajafanya hivyo kwa nia njema,hofu yake ni Chadema ikufutika na yeye atakosa cha kufanya na ujira pia.
Hongera sana,kwanza kwa kuchukua muda wako kusoma,pili kwa kuweza kusoma katiba ya chama kingine tofauti na mrengo wako,tatu kwa kuwa mkweli wa kile ulichokielewa.
ZABURI 1:1 - 6
" Heri Mtu Yule Asiye Kwenda Katika Shauri La Wasio Haki, Wala Hakusimama Katika Njia Ya Wakosaji, Wala Hakuketi Barazani Pa Wenye Mizaha, Bali Sheria Ya Bwana Ndiyo Impendezayo, Na Sheria Yake Huitafakari Mchana Na Usiku, Nae Atakuwa Kama Uliopandwa Kandokando Ya Vijito Vya Maji Uzaao Matunda Yake Kwa Majira Yake Wala Jani Lake Halinyauki, Na Kila Alitendalo Litafanikiwa".
 
Mkuu nimeanza kupata wasiwasi na Wewe toka unipige kamba kuwa Nccr mageuzi aliuza katiba yake Chadema [emoji1]

Bwashee nimekuvulia kofia

Mara mrema mpinzani wa kweli
Hahahaaaa...... Chukua katiba za Chadema na Nccr mageuzi toleo la 1992 uzilinganishe.
 
Usimpe hongera,hajafanya hivyo kwa nia njema,hofu yake ni Chadema ikufutika na yeye atakosa cha kufanya na ujira pia.
Bwashee kwani ACT wazalendo na Zitto wako Chadema?

Maisha yataendelea tu hapa Jf!
 
Mkuu hukusikia kamati flani zinazo idinisha vitu ikiwemo inayo idhinisha matumizi ya pesa flani ziliombwa kuteuwa wawakilishi wachache sababu za kubana matumizi?

Hao wachache waliowakilisha unaambiwa ndiyo watu wa karibu wa Mwenyekiti, na kati yao hawakatwi mishahara yao kama wengine?

Kabla hujatetea kitu rudi kawasikilize Waitara na Lijualikali.
 
Kwani Waitara na lijualikali siyo wanasiasa?!
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nimeichambua taratibu katiba ya Chadema ibara kwa ibara na nimejiridhisha hakuna pahala panapotoa fursa Mwenyekiti wa chama kujihusisha directly na fedha za chama.

Katiba inatoa fursa ya Mwenyekiti kuongoza vikao vitakavyoamua fedha za chama zitumikeje.

Katiba inatoa fursa kwa Katibu mkuu wa chama kuwa ndiye msimamizi mkuu wa matumizi ya fedha za chama

Katiba inatoa fursa kwa mhasibu mkuu wa chama kuwa ndiye mtunza fedha za chama na atazitoa kwa malipo halali kwa mujibu wa kanuni za chama.

Makamanda endeleeni kuchapa kazi MSIOGOPE.

Maendeleo hayana vyama!
Huu uchambuzi uliufanya peke yako au ulishirikiana na mzee Mgaya...[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K
Wamesema mwenyekiti ni signatory, kama anabisha ajitokeze abishe watu wamwage mboga,
Na kama katiba haimruhusu kuwa signatory basi asijitokeze siku zingine kusema wengine eti wanavunja katiba,
Pamoja na wabunge wake wasijekusema wengine wanavunja katiba wakati mwenyekiti wao anavunja lakini hawamkemei.
Kwani mkuu signatory huwa mtu mmoja kwenye taasisi mwenyekiti hawezi kuwa na pawa hivyo kwamaana mhasibu hufuatasheria ila baadaye lawama isiwe kwake
 
Back
Top Bottom