Watu wanahamu na watoto aise mie mitoto kwa kweli hapana.Umeshaenda hospital wataalam wamesema hamna shida mnaenda Kwa waganga kufanya nini? Miaka mi3 tu ushazunguka kiasi hicho?
Tulipima tukaambiwa hamna shidaHuwajui waganga wewe.
Mna uhakika damu zenu zinaendana?
Damu zikikataana hampati mtoto ng'o
Mmmh..nilitaka kusema jambo lakin haina maana.omba toba na anz upyaKiukweli ujana mbaya, nilikua nazitoa sasahiv najuta
Sema kitu usijali, kama unaona vipi njoo ukisemee pmMmmh..nilitaka kusema jambo lakin haina maana.omba toba na anz upya
Utapata watoto usijal
Asante Kwa ushauri mkuuNdugu unaharaka sana miaka 3 umehangaika namna hiyo? Wewe kama ni mkristo rud church ongea na kiongozi tubu kwanza dhambi ya kwenda kwawaganga then muachieni Mungu afanya anavyotaka mtoto ni zawadi huwezi kupush namna hiyo pia hata kama uchawi upo ukiwa mtu wa ibada hauwezi kuwadhuru hata kama amefungwa taratibu vifungo vinaachia katika kupambana miaka 3 ni michache sana
Mkuu sometimes jaribu kuwa na utuMkuu Yani kweli unawaza mtoto huku wenzako wanakusanya bilioni 100 ndani ya siku Moja? Kweli...?
Hapana haukua ushauri hata.kuna mambo ni bora ubaki nayo tu.Sema kitu usijali, kama unaona vipi njoo ukisemee pm
Ushauri huu nimepewa Sana inaonekana unafanya kaziBro nisikilize Mimi,usiende kwa mganga wala nabii yoyote Tena as long as hospital wamesema hakuna shida
Relax kula maisha na mke wako
Hakikisha una furaha na mke wako ana furaha pia
Mkisex sex for funny na sio kutafuta mtoto
Kiufupi hakikisha mkeo ana amani ya Moyo na wewe muoneshe kuwa kwako hilo sio tatizo
Kula maisha furahi
Ipo siku utamkuta huyo mkeo anakula maembe mabichi na anahisi kichefuchefu
Mshikaji wangu fulani amekaa na mke wake miaka 9 bila mtoto nilimpa ushauri huu huu
Mwezi ulopita mke wake kajifungua mtoto wa kiume
Sometimes ni issues za Energy tu nyakati
Ndio walimwengu Kaka tuwavumilie tuuMkuu sometimes jaribu kuwa na utu
This is our fellow man explaining his problem
Usilete utani kwenye serious issues.
SawaHapana haukua ushauri hata.kuna mambo ni bora ubaki nayo tu.
Kwendaaaa...usawa huu mtu hajui hospitali ? Hajui Kuna kupima ? Hajui madaktari ? Jf ndio hospitali? Ccm itawatawala milele Amina..Mkuu sometimes jaribu kuwa na utu
This is our fellow man explaining his problem
Usilete utani kwenye serious issues.
Kasema amepima hospital na wamesema hakuna shida yoyote mkuuKwendaaaa...usawa huu mtu hajui hospitali ? Hajui Kuna kupima ? Hajui madaktari ? Jf ndio hospitali? Ccm itawatawala milele Amina..
Please please please Anza kuufanyia kaziUshauri huu nimepewa Sana inaonekana unafanya kazi