Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

Pole sana mkuu.

Yaani huyo mwenzio amechukuliwa nguo yake ya ndani halafu ikafanyiwa jambo na kuzikwa kwenye kaburi. Na aliyemfanyia hivi ni ndugu yake wa karibu sana tena anaweza kuwa mama yake mkubwa au mdogo au shangazi yake.

Kama ni wakatoliki salini pamoja novena ya siku 54, 27 kuomba na 27 kushukuru. Ibada ifanyike kati ya saa 9 mpaka 11 alfajiri. Ihusishe rozari, litania na sala yoyote kuomba kuvunja nguvu za ibilisi. Pia hakikisha mmejiandaa vema kwa kuungama na kupokea Ekaristi.

Kama ni madhehebu na imani nyngine, muda ni huo huo ila salini kawaida kwa utulivu kulingana na utaratibu wa ibada yenu.

Inshaallah Mtafunguliwa.

Sifa kuu ya mwanaume ni kukabili jambo kupata suluhu na sio kukimbia. Unataka kumuacha huyo mtu; unamuachia nani?
Familia nyingi za kiswahili zipo hivyo na kama ukikimbilia pengine unachance kubwa ya kukutana na hayo hayo
 
Asante Sana kaka, hii busara ulioyumia kuandika hii reply nikubwa Sana tofauti na username yako..na nikiunganisha matukio kama ina ukweli ndani yake
 
Fukuza huyo, amecholopoa watoto wote na kuwatupa chooni
 
Nadhani haujaelewa au ni uandishi wangu Mbovu , lakini nlishaandika hapo kua tulishapata vipimo vyote kutoka Kwa specialist wa uzazi tukaambiwa wote tupo vizuri
Achana na specialist,huyo si zaidi ya uhalisia,
Basi kama.huamini acha baki hivyo tu,siku ukiacha nae atazaa kwa mwingine na utafedheheka
 
Umeshaenda hospital wataalam wamesema hamna shida mnaenda Kwa waganga kufanya nini? Miaka mi3 tu ushazunguka kiasi hicho?
Mwamba ana kasi sana, ndani ya miaka mitatu ashaenda kwa manabii na wachungaji kibao, kaenda mpaka karumanzila.

Yaani kati ya vitu alizingua ni kwenda kwa hao waganga.
Hamnaga mganga mkweli mkuu, hao watakudanganya mno na kukulia hela zako bure.
 
Hii pia nasikiaga inawork out, yaani ni kama vile mwanaume ambae anahangaika na nguvu za kiume ilhali shida yake ni kujiamini.
 
Nendeni mkafanye urine culture..... Majibu yake yataweza kusaidia
 
PO

Huo ndio mtihani mweyezi mungu kakupatia,
Nimeishi miaka 8 bila mtoto ndani ya ndoa,mke wangu akaniambia yeye Hana historia ya kupata mimba tangu ubinti wake hivyo hivyo nitafute mwanamke mmoja anizalie watoto wa kurithi jina langu Kwa sharti watoto wakiwa na umri wa miaka 2 anawachukua na kuwalea yeye kwa kua jambo lilikua na baraka za mke wangu kipenzi sikuchelewa kupata mwanamke,saivi Nina watoto 4 na mke wangu anawalea na kuwasomesha Kwa kuwa ana kipato.
Jambo hili usilifanye bila kuoN



Miaka 8 bila mtoto ndani ya ndoa yangu lakini mapenzi hayakupungua Kwa mke wangu nikampenda zaidi asiwe mnyonge siku Moja tukiwa katika stori akasema unaonaje utafute Binti umuoe azae watoto wataorithi jina lako nikamwambia haiwezekani nakupe da sana Lakini moyoni najisemea na iwe kweli akazidi kuniambia Ilo suala mwisho I nikakubali nikatafuta mwanamke nikaoa Kwa sharti watoto wakiwa na umri wa miaka 2 anawachukua na kuwalea yeye kwa kua alikua na kipato kizuri aliwalea na kuwasomesha nilifanikiwa kupata watoto 4, Nina ndoa nzuri na watoto nashukuru kuwa na mke huyu japo hajanipa mtoto lakini ni baraka sana kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…