mbenda said
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 1,084
- 2,074
Ahsante Sana mkuu kwa ushauri huu 🙏🏼Kumbe hii ndio sababu inayokupa mawazo kwa vitu vidogo, kijana mahari sio aibu, huendi kumnunua binti yao, bado ataendelea kuwa na mahusiano na nyumbani kwao, anaweza kwenda huko pakitokea tatizo lolote akatoe msaada hitajika hata kama utamuoa...
Ahsante Sana mkuuSikia mtu wa kwanza wa kumpa taarifa ni mwanamke,yeye ataenda kumwambia mama yake , mama atamwambia baba, baba ataamua nn kifanyike...
Mwenzio yupo serious wewe unafanya upuuzi na shida zako mwehu tu hivi kwanini humu jamiiforum ni vichaa tu ndio wapo wengiTeam Kataa Ndoa sijui hawapo online muda huu??
Wakija watasema ndoa ni Ubatili, Shukuru Mungu amekuletea ajali kukuepusha na ndoa.
Inawezekana mkuu, ongea vizuri tu na wazee wako.Hivyo nilikua nauliza, Je itawezekana kwenda ku bargain mahali tu kwa sasa hiyo siku, then nitalipa siku nyingine? Hata baada ya mwezi? Au ni lazima kwenye kikao hicho watanitaka kulipa hela kidogo?
🤣🤣🤣🤣Mahari hulazimiki kulipa siku hiyo. Labda makabila yanatofautiana. Kabila letu sisi utalipa utakapopata kabla ya kumchukua binti.
Tena hulazimiki kulipa yote. Ukilipa kiasi, nyingine utalipa kidogo kidogo mkiwa kwenye ndoa.
Pole sana na kuwa makini huko barabarani.
🤣🤣🤣Nini bhana!?🥴Unakosaje cha kuchangia. Unacho sema hutaki kumpa😎
Tafuta taasisi inayokopesha hela ukope faster vinginevyo utadhalikika maana hutaeleweka ukweni.Kama ni kuoa,usijali mkuu,wadau tutakuchangia[emoji109]
Mie?Tafuta taasisi inayokopesha hela ukope faster vinginevyo utadhalikika maana hutaeleweka ukweni.
Sio lazima ulipe siku hio mnakubaliana afu unalipa ila isizidi mwezi ila kuacha kwenda ndio utaonekana msaniiWakuu habarini!
Nimekuja kwenu naomba nisaidiwe kimawazo na ushauri.
Hivi karibuni nilipeleka barua ya uchumba (posa ) na Mambo yalienda freshi tu. Kikao Cha kupangiana mahari makubaliano ...
Ondoa hofu mkuu we ongea na mshenga wakikupangia mahali utakuja baada ya muda flani kumalizia ,Wakuu habarini!
Nimekuja kwenu naomba nisaidiwe kimawazo na ushauri.
Hivi karibuni nilipeleka barua ya uchumba (posa ) na Mambo yalienda freshi tu. Kikao Cha kupangiana mahari makubaliano yalikuwa kifanyike ijumaa hii. Nimejikuta nina mawazo Sana kwani hela niliyoiandaa kwa ajili ya kuitolea mahari kiasi Cha 700,000 nimekitumia chote kutokana na mkasa ulionipata pasipo kutegemewa jana usiku.
Hipo hivi, Mimi ni dereva bajaji DSM nilijikuta nimeikwaruza gari ubavuni na kuivunja taa ya kulia maeneo ya round about. So mwenye gari akaniamuru ili tusifikishane mbali nimlipe kiasi Cha sh. 650,000 ili akafanye matengenezo ya gari lake, vinginevyo atachukua hatua za kisheria kwani makosa yalikuwa ni yangu. Hivyo nikamlipa.
Nahisi kukata tamaa, kikao ni jumatatu na Sina mpango wa kupata hela nyingine kwa Sasa. Wazee wangu wapo mikoani hivyo hapa town nawatumia wazee tu wa kujuana, na ninaogopa hata kuwaambia kwani watahisi nafanya usanii.
Hivyo nilikua nauliza, Je itawezekana kwenda ku bargain mahali tu kwa sasa hiyo siku, then nitalipa siku nyingine? Hata baada ya mwezi? Au ni lazima kwenye kikao hicho watanitaka kulipa hela kidogo?
Kama Kuna mtu mwenye uzoefu au utaalamu na haya Mambo naomba anisaidie kimawazo au ushauri
Ahsante!
Moniely
Dsm.
pole mkuu kwa ajali, kama nimekuelewa vizuri ni kwamba umeshapeleka barua ya uchumba na ukakubaliwa hatua inayofuata ni wazee kwenda kujadiliana taratibu za mahari n.a. mambo mengine, nikwambie mahari sio lazima ilipwe siku hiyo wazee baada ya kukubaliana wataomba muda wa lini watapeleka kwa hiyo gharama zinazohitajika ni nauli tu za wazee wako.Wakuu habarini!