Nimejaribu kufanya YouTube kama Side Hustle nipunguze kulalamika kwenye Uzi wa Mshahara wa January: Sio rahisi aisee!

Poa poa kaka. Ngoja nione kama itakubali.
Au unaweza kutengeneza ya maisha yako halisi ya kila siku, unatega camera hapo nyumbani inarekodi matukio yako halisia ya kila siku.

Kwa kifupi, harakati za maisha yetu ya kila siku, ile unaamka, unakunywa chai, unaenda kazini, umerudi, umeangalia mifugo, unabishana na watoto n.k ile unaweza kufanya 'content' na washiriki wakawa wengi tu.​
 
Dah maisha yetu yanabore sana kaka. Yaani kila siku ova msiba. Ila idea ya kishua sana.
 
Back
Top Bottom