Uwakika mzee ukianza kimasiara unatoka.Ngoja nifanye Mazoezi ya kuongea kwenye mic. Maana lugha ngumu hii masta.
Sio kidogo, ni ngumu sana. Especially kipindi hiki ambacho kila mtu ana smartphone, internet, na wireless mic zipo hadi za elfu 20.Utaftaji mgumu sana 😅😅
Kuna msemo unasema The world doesn’t pay a confused hustler it rewards consistency and experience.
YouTube hawakulipi tu kwa sababu umeanza kupost. Kuna consistency unapost mara kwa mara? Kila siku?
Kuna modifications, quality, engagement, audience na mambo mengine ya ziada yanayoamua utakachopata.
Ndio maana ile don’t rush ina maana kubwa. 😅
Inawezekana ukachukua hata mwaka mzima kujenga audience, kuelewa mfumo na hatimaye kuanza kupata commission ya kueleweka. 😄
Utafutaji unahitaji uvumilivu sana.
Safi sana 🔥Kama sio kosa kuweka JF, ni Experience Tanzania, kama ni kosa nitatoa.
View attachment 3683544
Hiyo break up na iyo toxic relationship, ukitulia, video moja tu unaenda viral.Nyingine zinazo fanya vizuri kutokana na kizazi cha sasa.
Mapishi.
Mashindano ya kula.
Breakup, courage & sad 💔(contents).
Toxic love ❤️ perspective.
Lonely videos & words(with lovely emotions).
Animation love videos.
Urembo urembo.
achanganye na za navigator chinduli (anacover sana DAR) mistakes na upungufu wa hao ndo yeye afanyie kazi,Ni dili mzee. Content creation ndo imeanza kupamba moto bongo.
Kwa sasa tunatoka kwenye ile phase ya wachekeshaji, tunaanza kuniche down. Hata youtube ilivyoanza 2005, walianza wachekeshaji wakatamba wee, zikaja content serious.
Watu wana njaa ya content mpya. Cheki podcasts zilivyolipuka. Content za mapishi. Ma-CFE wamejaa wanatoa ushauri wa kifedha.
Kama ana ujuzi mpana kwenye eneo maalum sana kama ujenzi, ufundi, kilimo na afya huu ndio muda wako!
Mcheki mTZ mmoja youtube anaitwa @explorewithbertin anafanya travel content kwa ukubwa na anatusua.
Kama sio kosa kuweka JF, ni Experience Tanzania, kama ni kosa nitatoa.
View attachment 3683544
Umejaribu sportbety?Wakuu, niaje?
Mwaka Jana mwezi September, nilikua na road trip ya Dar - Kigoma - Dar, nilidrive na nilikua na vituo kila mkoa/mji njiani. Nikaleta mrejesho hapa:
Mrejesho wa Safari yangu ya Dar Kigoma na kurudi Dar. Nimetumia Mafuta ya Tsh 230,000/= tu!
Wengi wanaulizia maswali mbalimbali na kushare experience mbalimbali, ikawa poa. Ila Kuna Jamaa anaitwa Kiranga akaongea like ushauri, kwamba ningeigeuza hii kua documentary narecord njiani na kuonesha miji na njia mbalimbali, ingekua poa.
View attachment 3683534
Niliichukulia poa, ila nikasema why not? Ukichukulia napenda sana kudrive na kuvisit new places daily. Ngoja nijaribu, maybe Kuna mtu atavutiwa au anapqta inspiration ya kwenda nilipo pita. Nikaanza.
Sikutaka kuingia gharama, nikastick na iPhone yangu, nikanunua dash mount na kuanza kurecord, for reason of anonymity, nikawa nafanya silent tours, just naweka subtitles siongei.
Kiutani kufika mwezi wa saba mwaka huu, YouTube wakanitumia email kwamba nimekua monetized na naweza kuanza kulipwa. Nikasema No way.
Nikamuambia shemeji/wifi yenu, akanipongeza, kama zawadi akanipa camera (GoPro 12) ili niache kutumia simu wakati wa kurecord.
So nikawa nikisafiri au nikiwa misele mjini naweka GoPro pale kwenye dash nakua narecord silent videos. So Kuna fans/subs wakapenda, wanashauri iki na kile, na Mimi nikawa najaribu ushauri, just ikawa my new hobby.
How much napata, ni kiasi kidogo hadi sasa. Sio cha kulipia kodi Wala nini. Ndio maana nafanya kama hobby, siendi trip yoyote just kurecord, narecord ninavyoenda sehemu so nisiingie unnecessary gharama. Mfano tokea niwe monetized hiki ndio nimepata:
View attachment 3683540
Ukiwa more serious na ukachagua interesting niche, unaweza pata zaidi. Niche yangu Haina wadau wengi, ila ukiwa na niche za burudani, za umbea unatoboa mapema.
Kua monetized, YouTube wanataka uwe na angalau na Subscribers 1,000 na Watch hours 4,000 au kama Shorts views Mil 10. Mi nilifikisha subs 1,000 kama zali. View attachment 3683547
Kuna video moja unaweza kukuingizia ata $5 kwa views 1.5k wakati nyingine same views ata isivuke $1 kwahiyo ni hit and miss. Factors kama RPM, niche, urefu wa video, short au long form zina matter.
Shorts ni takataka, zinakupa subs, ila hazikupi pesa. Mfano short Ina views 30k ila ata $1 haifiki, ila inalipa subs karibia 40. View attachment 3683548View attachment 3683549
Kwahiyo kama hauna mishe na hauna aibu, simu Yako, mic na akili unaweza pata pesa ya mlo.
Pamoja.
Sana mkuu watu kila siku wana-achana kwa vitibwi. Na hiyo ni Duniani kwote so ukitulia unajizolea tu.Hiyo break up na iyo toxic relationship, ukitulia, video moja tu unaenda viral.
Piga mzigo mzee.Sio kidogo, ni ngumu sana. Especially kipindi hiki ambacho kila mtu ana smartphone, internet, na wireless mic zipo hadi za elfu 20.
Nadhani kufanya ambacho you are good at ni jambo zuri. Mfano, niliwahi alikwa na YouTuber flani kwenye channel yao ya Magari kama mgeni, mwanzo walisema podcast, nafika nakuta camera, nikasema no, mi sipendi kutokea kwasababu ya nature ya ajira yangu.
Ngoja nizidi kusoma game la YT hadi December.
hizo content nazifatilia sana hasa za nje kuangalia barabara na wadereva wanavyofata kanuni road,Hahahaaa ni nyumbani uko nini?
Hiyo toxic masculinity,red pills😄😄 hiyo naona inanifaa kabisa.Hiyo break up na iyo toxic relationship, ukitulia, video moja tu unaenda viral.
UnyamaHahaha iyo ni ya siku 2. YouTube wanahesabia pesa siku 2 nyuma. Mfano pesa ilioingia leo Tarehe 4 ni ya Tarehe 1 na 2, kwahiyo ya tar 3 na 4 Bado. Kwahiyo tunaweza sema iyo ni ya siku 2.
29k ya leo.Ni sawa na shilingi ngapi mkuu
Nadhani hapo nilichokuchanganya ni hilo neno mad kwenye jina lake 😂Mimi zamani nilikuwa nakufananisha wewe na mtoa mada