Ni sawa na shilingi ngapi mkuuKwamba ndani ya siku nne za October umepata $11 afu unasema ni pesa ndogo?
Au mm ndo masikini wa kutupwa kwamba sielewi maana ya pesa kubwa?
Hahaha iyo ni ya siku 2. YouTube wanahesabia pesa siku 2 nyuma. Mfano pesa ilioingia leo Tarehe 4 ni ya Tarehe 1 na 2, kwahiyo ya tar 3 na 4 Bado. Kwahiyo tunaweza sema iyo ni ya siku 2.Kwamba ndani ya siku nne za October umepata $11 afu unasema ni pesa ndogo?
Au mm ndo masikini wa kutupwa kwamba sielewi maana ya pesa kubwa?
Nataka ni subriscribe Account yako Mkuu...Biashara kichaa kaka. Bora kubeti.
Ngoja nifanye Mazoezi ya kuongea kwenye mic. Maana lugha ngumu hii masta.we mzee hela ya mafuta ya trip ya kigoma imerudi hela ya mafuta ya trip ya mtwara imerudi na bado unalalamika😄😄😄
📌📌📌FANYIA KAZI USHAURI WA KUWEKA SAUTI NA KUIMPROVE QUALITY YA MATUKIO HUKO UNAKOZURURIA.AU UNAOGOPA WANATAMISEMI WATAKULOGA😄
Video 228Kama sio kosa kuweka JF, ni Experience Tanzania, kama ni kosa nitatoa.
View attachment 3683544
niliona clip ya morogoro -ifakara nikachapa bookmark , muda huu ndo nakumbukaKama sio kosa kuweka JF, ni Experience Tanzania, kama ni kosa nitatoa.
View attachment 3683544
Ngoja nicheki masta. Nilichojifunza, ni kua kila siku unajifunza kipya kutoka kwa creators wakubwa, au subs au unasoma sehemu. Ngoja nione na huyuNi dili mzee. Content creation ndo imeanza kupamba moto bongo.
Kwa sasa tunatoka kwenye ile phase ya wachekeshaji, tunaanza kuniche down. Hata youtube ilivyoanza 2005, walianza wachekeshaji wakatamba wee, zikaja content serious.
Watu wana njaa ya content mpya. Cheki podcasts zilivyolipuka. Content za mapishi. Ma-CFE wamejaa wanatoa ushauri wa kifedha.
Kama ana ujuzi mpana kwenye eneo maalum sana kama ujenzi, ufundi, kilimo na afya huu ndio muda wako!
Mcheki mTZ mmoja youtube anaitwa @explorewithbertin anafanya travel content kwa ukubwa na anatusua.
Hakikisha kwenye mikeka yako usimuweke Chelsea na maniyuuu hapo utaona raha ya bettingBiashara kichaa kaka. Bora kubeti.
Komaa, hizi ni dalili nzuri.Ngoja nicheki masta. Nilichojifunza, ni kua kila siku unajifunza kipya kutoka kwa creators wakubwa, au subs au unasoma sehemu. Ngoja nione na huyu
hii nitapitia vitu vyangu sana hiviniliona clip ya morogoro -ifakara nikachapa bookmark , muda huu ndo nakumbuka