Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,278
Aje nimpatie wa kiume [emoji16][emoji16][emoji16]Basi usiwe mkali. Mpe A B C
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje nimpatie wa kiume [emoji16][emoji16][emoji16]Basi usiwe mkali. Mpe A B C
Yes I know but Mara nyingi Hua napenda kumdaka mkono Hua nainjoy Sana spid yake hasa akinishindaHauna flexibility. Ushauri wangu ni kwamba kwakua hauna flexibility basi kimbilia kumziba mdomo na siyo kuudaka mkono.
Lakini kila kitu si kizima?Basi wenye watoto mnaturingishiaa dah, sawa wakuu
Miaka 5 bado ni michache kwa uweza wa Mungu wakati wake bado, ingawa kibinadamu inasononesha ila usichoke kumuomba Mungu anajua ni lini atakuondolea maumivu ya upweke wa kukosa mtotoSisi tulioko kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa na hatuna watoto tunachangia vp mada!!??! [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Any way mkuu hongera kwa kuwa na mtoto,,, endeleeni kutuombea na sisi tusiopata watoto[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kitu gani Sijaelewa?Lakini kila kitu si kizima?
😅 Fafanua tafadhali. Mtoto yupo tayari au kuna means zingine?Aje nimpatie wa kiume [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Miaka 5 bado ni michache kwa uweza wa Mungu wakati wake bado, ingawa kibinadamu inasononesha ila usichoke kumuomba Mungu anajua ni lini atakuondolea maumivu ya upweke wa kukosa mtoto
[emoji23][emoji23][emoji23]Aje nimpatie wa kiume [emoji16][emoji16][emoji16]
Tujaribu kutafuta wetuBasi wenye watoto mnaturingishiaa dah, sawa wakuu
Usikate tAmaa utapata tuSisi tulioko kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa na hatuna watoto tunachangia vp mada!!??! [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Any way mkuu hongera kwa kuwa na mtoto,,, endeleeni kutuombea na sisi tusiopata watoto[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120]Usikate tAmaa utapata tu
Sisi tulikaa miaka 7 ndio tukapata wa kwanza
Sawa mkuu🤭
Na tulikaa miaka 9 ndio tukapata wa pili na Sasa Bado ananyonya
Bro hujawahi mpa mtu mimba kabla hujamuoa shemeji?
Asante mkuu kwa encoragement[emoji120][emoji120][emoji120] barikiwaNa tulikaa miaka 9 ndio tukapata wa pili na Sasa Bado ananyonya
So don't give up
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mtoto wa takeaway ?? Hujui wanapopatikana[emoji28] Fafanua tafadhali. Mtoto yupo tayari au kuna means zingine?
Nishawah mkuu kama mara 3 hivi!!!Bro hujawahi mpa mtu mimba kabla hujamuoa shemeji?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mtoto wa takeaway ?? Hujui wanapopatikana
Basi kama hivyo hujaamua tu. Naona kuna jamaa mshaelewana. Kazi ni kwakoMbususu ipo kubwa tu ila mengine ni majaaliwa kama ukomavu wa mayai na uwezo wake 🤔
AminAsante mkuu kwa encoragement[emoji120][emoji120][emoji120] barikiwa
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app