Nimejaribu kumwacha mtoto wangu aokote kitu ili ale nijaribu kumzuia, kila akiokota anakuwa fasta zaidi yangu

Sisi tulioko kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa na hatuna watoto tunachangia vp mada!!??! [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Any way mkuu hongera kwa kuwa na mtoto,,, endeleeni kutuombea na sisi tusiopata watoto[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Miaka 5 bado ni michache kwa uweza wa Mungu wakati wake bado, ingawa kibinadamu inasononesha ila usichoke kumuomba Mungu anajua ni lini atakuondolea maumivu ya upweke wa kukosa mtoto
 
Sisi tulioko kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa na hatuna watoto tunachangia vp mada!!??! [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Any way mkuu hongera kwa kuwa na mtoto,,, endeleeni kutuombea na sisi tusiopata watoto[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Usikate tAmaa utapata tu

Sisi tulikaa miaka 7 ndio tukapata wa kwanza
 
Back
Top Bottom