Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,278
Kwan imefungwa hyo dm?Au nijisogeze mpaka DM !!?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan imefungwa hyo dm?Au nijisogeze mpaka DM !!?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Habar wadau Ile RAHA ya kuwa na mtoto ninayo kwa asilimia Mia mimi kama Baba sababu ya kuwa Rafiki na Mwanangu imepelekea nimebuni michezo Mingi ya kucheza nae mpaka mwezi Jana nilipo gundua kuwa watoto Mikono yao ina spidi si ya kawaida pindi inapo elekea Mdomoni.
Kama wote tunavyo jua kua watoto hupenda kuokota vitu chini na kuvila au kuviweka Mdomon pia wangu anatabia hiyo pia Lakini nashtushwa na uwezo wake wa kua haraka sababu nimesha jaribu Mara nyingi kumuacha aokote kitu ili mimi nimtarget kwa haraka kabla hajakiweka Mdomon ila kila nikijaribu wap hata nikiwa nae umbali wa face to face bado Hua nafel na Mara nyingi Hua nakuta kitu tayar kipo Mdomoni.
Uzazi raha jamani pia polen wote ambao bado hamjajaliwa muombeni sana Mungu
[emoji1787]Wakikua speed itapungua tu. View attachment 1838790
Basi wenye watoto mnaturingishiaa dah, sawa wakuu
Sisi tulioko kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa na hatuna watoto tunachangia vp mada!!??! [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Any way mkuu hongera kwa kuwa na mtoto,,, endeleeni kutuombea na sisi tusiopata watoto[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app