Nimejaribu kumwacha mtoto wangu aokote kitu ili ale nijaribu kumzuia, kila akiokota anakuwa fasta zaidi yangu

Nimejaribu kumwacha mtoto wangu aokote kitu ili ale nijaribu kumzuia, kila akiokota anakuwa fasta zaidi yangu

Habar wadau Ile RAHA ya kuwa na mtoto ninayo kwa asilimia Mia mimi kama Baba sababu ya kuwa Rafiki na Mwanangu imepelekea nimebuni michezo Mingi ya kucheza nae mpaka mwezi Jana nilipo gundua kuwa watoto Mikono yao ina spidi si ya kawaida pindi inapo elekea Mdomoni.

Kama wote tunavyo jua kua watoto hupenda kuokota vitu chini na kuvila au kuviweka Mdomon pia wangu anatabia hiyo pia Lakini nashtushwa na uwezo wake wa kua haraka sababu nimesha jaribu Mara nyingi kumuacha aokote kitu ili mimi nimtarget kwa haraka kabla hajakiweka Mdomon ila kila nikijaribu wap hata nikiwa nae umbali wa face to face bado Hua nafel na Mara nyingi Hua nakuta kitu tayar kipo Mdomoni.

Uzazi raha jamani pia polen wote ambao bado hamjajaliwa muombeni sana Mungu

Wakikua speed itapungua tu.
IMG_20210426_204558_305.jpg
 
Sisi tulioko kwenye ndoa mwaka wa 5 sasa na hatuna watoto tunachangia vp mada!!??! [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17] Any way mkuu hongera kwa kuwa na mtoto,,, endeleeni kutuombea na sisi tusiopata watoto[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app

Tunakuombea ndugu na Mungu akasikie hitaji la moyo wako. Amina.
 
Hongera bro selikari ya awamu ya sita lazima ikualike ikulu kwa kumzaa bluce leee🤸🤸 maana wanasema blucelee alikuwa Kama mwanao hivyohivyo wakati mdogo
 
Back
Top Bottom