Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

Kuna huyo jamaa nikakuta anabishana na watu mishipa ya shingo imemsimama vibaya mno,anawaambia "kitimoto haijapingwa na vitabu vya Mungu bure,Ina magonjwa mengi sana,hadi bawasiri".

Nikasema hakika kitimoto angekuwa na roho nyepesi asingekuwa ananenepa vile. Huku kusingiziwa kumezidi sasa asee!! Hadi bawasiri!!?
 
Hizi nyama zinasifiwa utamu wake kwa sababu ya kukwaza watu wa dini fulani ila kiuhalisia hizi nyama ni za kawaida sana , kulinganisha na kuku ,mbuzi ng'ombe swala , bata , ambazo zina ladha nzuri na supu tamu kupindukia.

Mdogo wangu.

Hujawah kula hii nyama bila shaka.

Tuweke kila kitu kiwe constant kimjini mjini hapa.
Hakuna nyama inamzigi Kitimoto.
Inayomkaribia ni bata ,Kuku na mbuzi .
Ngombe tusimtaje maana ni nyama ya kawaida sana.
Samak tusimjumuishe. (Atavuruga mada maana kuna samak watam na wachungu )
 
Mimi sio mdogo wako , halafu huko moshi nafuga nguruwe si chini ya 50, na sijaanza leo bwashwee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…