The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Kobaz wanakuambia dhambi ni kuila tu hadharani. Lakini ukiila kwa kujificha siyo haramu.
adriz The Consigliere
adriz The Consigliere
Sijawahi kuwa mwislamu , nguruwe hata juzi nimekula hana maajabu, mpaka nguruwe pori miaka ya 2000 huko arusha tumewinda snasawa. ww ni kaka yangu.
Au pia hata kukuita hivyo sio sawa pia.
Inashangaza unafuga nguruwe na wakat ww ni Muslam.
Na ndio Maana hata kuwala hujawah pia na ndio maana hujui taste yake.
Sijawahi kuwa mwislamu , nguruwe hata juzi nimekula hana maajabu, mpaka nguruwe pori miaka ya 2000 huko arusha tumewinda sna
Kuku ,ng'ombe ,mbuzi, swala , nyati, bata ,na nk hizo nyama zote zimeacha mbali kiti moto , hata kwa bei tuOkay sawa.
Nani ana maajabu kumzidi nguruwe?
Nitajie mmoja tu.
Hayo mapumbu ya mnyama au binadamu? 😹😹
😹😹😹 We jamaa😄😄😄
Nilionja vingunguti hizo kitu. Tamu sana.
Wanaita 'ashua'.
Tulikuwa Jet Lumo baada ya kilevi tunarudi Ubungo jamaa nashitukia anakunja kushoto kuelekea Vingunguti.
Shem umeambiwa ni Mapumbu ya kula sio yale ya Binadamu ya kunyonya 😂😂😂😂😂Hayo mapumbu ya mnyama au binadamu? 😹😹
Sasa utajuaje km siku hiyo wamechoma ya binadamu? Nayo si mapumbu? 😹😹😹Shem umeambiwa ni Mapumbu ya kula sio yale ya Binadamu ya kunyonya 😂😂😂😂😂
Kobazi Covax amekuja na ID yake nyingine 😂
Sasa utajuaje km siku hiyo wamechoma ya binadamu? Nayo si mapumbu? 😹😹😹
OkSitak kubishana kwenye price ya Kilo.
Maana itakuwa mada nyingne.
Umemtaja wa kwanza ni Kuku
.
Kuku vs Nguruwe.
Kweli kuku mtamu, ila kwangu taste ya kitimoto ina niridhisha zaid ya taste ya kuku.
Hizi nyama zinasifiwa utamu wake kwa sababu ya kukwaza watu wa dini fulani ila kiuhalisia hizi nyama ni za kawaida sana , kulinganisha na kuku ,mbuzi ng'ombe swala , bata , ambazo zina ladha nzuri na supu tamu kupindukia.
Nikija moshi unitafute nikutafutie nguruwe mmoja wa kienyeji bandani ambae ajakomaa uchome , bwashee .Sitak kubishana kwenye price ya Kilo.
Maana itakuwa mada nyingne.
Umemtaja wa kwanza ni Kuku
.
Kuku vs Nguruwe.
Kweli kuku mtamu, ila kwangu taste ya kitimoto ina niridhisha zaid ya taste ya kuku.
Haya matakataka niya kutunzia pesa tu , kuliko uweke pesa yako Bank bora ufuge haya ma kitu bwashee
Nikija moshi unitafute nikutafutie nguruwe mmoja wa kienyeji bandani ambae ajakomaa uchome , bwashee .