Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

Hakuna na nimejibu, ni haki yangu kama wana jf , unateseka ukiwa kidimbwi sehemu gani bwashee?

Tuko Kawe huku, tukiyachinguza maandiko arawa:

G0X8xrYXwAAHYUe.jpeg
 
Zilikuwepo Pale Temeke Sokota nje ya Sugar Ray Pub zamani.
Nilifakamia siku moja nje pale ilikua jero tu Pumbu limenona balaa.
Nilishiba na ndizi saafi,
Kuja Kujua ni Mbupu nilitapika balaa.
Piteni pale usiku Nje tu hapo.

Bro hata kama ulitapika.
Ila pumbu ulizikula. 😂😂😂😂😂

Lamomy
Kwan pumbu zina makosa gan?.

Anyway. Mbona wote tunakula mayai ya kuku.
😂😂😂😂.
 
Bro hata kama ulitapika.
Ila pumbu ulizikula. 😂😂😂😂😂

Lamomy
Kwan pumbu zina makosa gan?.

Anyway. Mbona wote tunakula mayai ya kuku.
😂😂😂😂.
Mimi sijui ngozi, mapupu, kongoro, pumbu Huwa sinaga muda nazo Wala sijawai na silagii..

NB. Kongoro nilikula mwaka Jana nilipo vunjika mguu so ulajii wakongoro husaidia uungaji WA mifupa mapema
 
Back
Top Bottom