Aiseee noma sana mkuu 🤣🤣Nishawahi kula mapumbu ya ng'ombe, punda na mbuzi huko kwetu Singida. Huyu inaonekana ni chef kabisa. Siku nikienda Dar nitamcheki. Asante kwa taarifa mkuu 😂
Aiseee noma sana mkuu 🤣🤣Nishawahi kula mapumbu ya ng'ombe, punda na mbuzi huko kwetu Singida. Huyu inaonekana ni chef kabisa. Siku nikienda Dar nitamcheki. Asante kwa taarifa mkuu 😂
SwadaktaNauliza tu. Nikiwa nakula kwa wiki angalau mara mbili hivi; kuna madhara yo yote naweza kupata? I can't believe this 👐
View attachment 3469138
View attachment 3469140
kuna madhara yo yote naweza kupata?
Hapo. Juu mbona kama mnofu wa chatuNauliza tu. Nikiwa nakula kwa wiki angalau mara mbili hivi; kuna madhara yo yote naweza kupata? I can't believe this 👐
View attachment 3469138
View attachment 3469140
Kila kituKumchinja au?
Kumchinja siwezi ila kupika najuaKila kitu
Mimi vegetarian Rastafari, Ital is vital 😂😂😂😹😹😹 Kwani wewe uliagiza yapi?
Uliongeza nguvu za kiume 😂😂😂W
India wanaita KALEJI. Pumbu za mbuzi, late 90s niliwahi kuzila nikiwa Bombay.
Hapana mimi nakunywa juisi ya mananasi tu hapa ya kutengeneza mwenyewe nyumbani kwenye lile mashine juicer jipya tu saa hizi.Mkuu hii ya kwako nini? 😂😂
Noted...with thanks 🙏🏿
- Hakikisha unacheki minyoo kila baada ya muda fulani.
- Kuna baadhi ya wauzaji huwa hawaandai/ kuivisha vyema hiyo nyama, hivyo unakuwa kwenye hatari kubwa ya kuwa na Minyoo.
Dah hamu imenikaba
Weee..Temea mate mbali...nenda jangwani (mnaruhusiwa kula kidogo ikiwa mko jangwani na hakuna chakula) ..onja kidogo na kachumbari alafu urudi hapaHizi nyama zinasifiwa utamu wake kwa sababu ya kukwaza watu wa dini fulani ila kiuhalisia hizi nyama ni za kawaida sana , kulinganisha na kuku ,mbuzi ng'ombe swala , bata , ambazo zina ladha nzuri na supu tamu kupindukia.
Hizi nyama zinasifiwa utamu wake kwa sababu ya kukwaza watu wa dini fulani ila kiuhalisia hizi nyama ni za kawaida sana , kulinganisha na kuku ,mbuzi ng'ombe swala , bata , ambazo zina ladha nzuri na supu tamu kupindukia.
Sina dini na siamini mambo ya MunguUkimaanisha dini gani mkuu mbona hata kina MK254 usabatoni huko na hata kwa wanamaombi wenzi wao kina matunduizi huko, huyo mdudu ni haramu?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kobaz wanakuambia dhambi ni kuila tu hadharani. Lakini ukiila kwa kujificha siyo haramu.
adriz The Consigliere
OkWeee..Temea mate mbali...nenda jangwani (mnaruhusiwa kula kidogo ikiwa mko jangwani na hakuna chakula) ..onja kidogo na kachumbari alafu urudi hapa