Nimejaribu Leo kwa Mara ya Kwanza. Hii Kitu (Pichani) ni Tamu Aisee Asikwambie Mtu!

Thread inachekesha sana, kuanzia ID na avatar yake....story za kitimoto na mapumbu choma, nimecheka sana.
Karibu Dada Evelyn. Hiyo gas station kuna jamaa kafungua kule Singida. Nilipoiona nilicheka sana. Sijui tapeli Tonny akiamua kumshitaki atajiteteaje. Ila anapiga hela balaa maana watu wamepageuza kuwa sehemu ya kufanyia utani kwa kunywesha magari yao pale kumbe mwenzao anapiga hela 😂😂😂

Kama unataka kilo mbili za kitimoto wikendi ya wiki hii nambie tu dadake 🙏🏿
 
Karibu Dada Evelyn. Hiyo gas station kuna jamaa kafungua kule Singida Ikungi. Nilipoiona nilicheka sana. Sijui tapeli Tonny akiamua kumshitaki atajiteteaje 😂😂😂

Kama unataka kilo mbili za kitimoto wikendi ya wiki hii nambie tu dadake 🙏🏿
AISEEEE,

😁😁 Nimeanza kuchangamkaa konyagiiii ndogo yangu moja toshaaaaaa naona inakoleaaaa 😊😊😊😊
 
Karibu Dada Evelyn. Hiyo gas station kuna jamaa kafungua kule Singida. Nilipoiona nilicheka sana. Sijui tapeli Tonny akiamua kumshitaki atajiteteaje. Ila anapiga hela balaa maana watu wamepageuza kuwa sehemu ya kufanyia utani kwa kunywesha magari yao pale kumbe mwenzao anapiga hela 😂😂😂

Kama unataka kilo mbili za kitimoto wikendi ya wiki hii nambie tu dadake 🙏🏿
Astaghfirullah 😁

Ila Busu la Kenge kasema ukila kwa kujificha sio dhambi 😂😂😂😂🙌🙌
 
Roastam + ndizi mzuzu au
Kavu + kachumbari + ndizi choma
Ukiwa peke yako kilo moja ndizi mbili.
Raha kamili muwe watano halafu mnaagiza kilo 9 ndizi ishirini, pilipili kwa mbaali + bitter lemon baridi.
Halafu kuwe na wanawake wakuvutia meza ya jirani, aluuuh.
 
Back
Top Bottom