Nimejenga nyumba na kununua gari ndani ya miaka hii 3 lakini kura yangu kwa Lissu

Nimejenga nyumba na kununua gari ndani ya miaka hii 3 lakini kura yangu kwa Lissu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Nitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania.

Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu.
Ninaamini kama CCM itaondoka madarakani ndani ya miaka 5 ijayo nitafanya jambo kubwa zaidi.

Nataka niwe huru,mitandaoni nipost chochote kwa uhuru.
 
Back
Top Bottom