Karibu Sana
JF-Expert Member
- Mar 14, 2020
- 991
- 1,774
Kwahiyo unataka kuitukuza chadema ya MBOWE?Kwahiyo unataka niendelee kuitukuza CCM ya Magufuli?

Ndio ujue hao vijana wa chadema hawajui wanataka nini wao wapo wapo tuHapo sasa hivi umepost chochote na bado unataka uhuru wa kuposti chochote.
Kama mke huna tafta uishukru vizuri serikal ya awamu ya tanoNitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania.
Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu.
Ninaamini kama CCM itaondoka madarakani ndani ya miaka 5 ijayo nitafanya jambo kubwa zaidi.
Nataka niwe huru,mitandaoni nipost chochote kwa uhuru.
NdogoNitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania.
Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu.
Ninaamini kama CCM itaondoka madarakani ndani ya miaka 5 ijayo nitafanya jambo kubwa zaidi.
Nataka niwe huru,mitandaoni nipost chochote kwa uhuru.
Kwahiyo unataka niendelee kuitukuza CCM ya Magufuli?
Labda picha ya nyumba na gari ila ya mke tafadhali nduguPicha ya gari, nyumba na mke please ili tuthibitishe
"Nataka niwe huru mitandaoni niposte chochote kwa Uhuru"Nitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania.
Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu.
Ninaamini kama CCM itaondoka madarakani ndani ya miaka 5 ijayo nitafanya jambo kubwa zaidi.
Nataka niwe huru,mitandaoni nipost chochote kwa uhuru.
Hongera sana mkuu kwa kujitambuaNitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania.
Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu.
Ninaamini kama CCM itaondoka madarakani ndani ya miaka 5 ijayo nitafanya jambo kubwa zaidi.
Nataka niwe huru,mitandaoni nipost chochote kwa uhuru.
huu nao ni uzi, tujadili nini au tutuoe maoni gani hapa?Nitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania.
Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu.
Ninaamini kama CCM itaondoka madarakani ndani ya miaka 5 ijayo nitafanya jambo kubwa zaidi.
Nataka niwe huru,mitandaoni nipost chochote kwa uhuru.
Magari na Nyumba ni vitu vyako na familia yako kama sio m-binafsi na wala havimsaidii hata jirani yako anayeishi karibu kabisa na wewe .Hivyo ni vyako na muungwana yoyoyte akiwa navyo huwa hapigi kelele .Na KURA YAKO VILEVILE NI SIRI YAKO.Inaelekea jando lako ulifanyiwa hospitali kwani inaonekana una upogo wa maadili.Nitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania.
Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu.
Ninaamini kama CCM itaondoka madarakani ndani ya miaka 5 ijayo nitafanya jambo kubwa zaidi.
Nataka niwe huru,mitandaoni nipost chochote kwa uhuru.
I'd yangu naogopa hata kumwambia mdogo wangu.Hata mimi nataka niwe huru hapa mtandaoni juzi.. staff mate wangu alikuja kutumia kompyuta yangu alishangaa kwamba nami ni member wa jf ingawa hakujua ID yangu.. yeye naye akaniambia ni member kitambo sema huwa anaogopa kujitaja kama anaijua jf
Hongera Sana... Mimi Nina vibanda vya mpesa vi 8, nyumba 3, pub 2 na maduka ma3 laki I will never vote for CCM... YaaniNitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania.
Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu.
Ninaamini kama CCM itaondoka madarakani ndani ya miaka 5 ijayo nitafanya jambo kubwa zaidi.
Nataka niwe huru,mitandaoni nipost chochote kwa uhuru.
Kwisha habari yao.kama wanataka kutumia nguvu watumie ila lazima watambue kuwa CCM hatuitakiHongera Sana... Mimi Nina vibanda vya mpesa vi 8, nyumba 3, pub 2 na maduka ma3 laki I will never vote for CCM... Yaani
Rais ni CDM
Diwani ni CDM &
Mbunge CDM