Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,869
- 1,471
Nyumba ya vyumba vingapi?Nitampa kura Lissu au mgombea yeyote wa chama cha upinzani kwakuwa nataka kuona changes ndani yangu na ndani ya Tanzania.
Licha ya kuwa na nyumba ambayo nimeijenga kwa mkopo ninaokatwa kwenye mshahara wangu na gari niliyonunua kutokana na kusave posho kidogokidogo kura yangu kwa Lissu.
Ninaamini kama CCM itaondoka madarakani ndani ya miaka 5 ijayo nitafanya jambo kubwa zaidi.
Nataka niwe huru,mitandaoni nipost chochote kwa uhuru.
Gari gani?