Nimejenga nyumba na kununua gari ndani ya miaka hii 3 lakini kura yangu kwa Lissu

Kama mke huna tafta uishukru vizuri serikal ya awamu ya tano
 
Ndogo
Usingizi wa mchana siyo mzuri
 
Picha ya gari, nyumba na mke please ili tuthibitishe
 
"Nataka niwe huru mitandaoni niposte chochote kwa Uhuru"

Ngoma nzito hiyo na ni ngumu kutimia. Ila angalau umeongea kuwa kutokana na mazingira wezeshi yaliyowekwa na serikali umeweza kujenga nyumba na kununua gari sema tuu Sasa ndio unataka Uhuru wa kuvuta cha Arusha hadharani.

Washauri Basi wale wanaosema umasikini umeongezeka na hakuna chochote cha maana wafanyaje ili wawe Kama wewe kasoro hiyo wish ya kutumia kitu Cha arusha
 
Kuna majamaa ya kijani kibichi , ukimwambia toa hata elfu kumi mfukoni hana lakini ndio mafia chama na uchumi wa kati wa kijani kibichi.
 
Hongera sana mkuu kwa kujitambua
 
huu nao ni uzi, tujadili nini au tutuoe maoni gani hapa?
 
Hata mimi nataka niwe huru hapa mtandaoni juzi.. staff mate wangu alikuja kutumia kompyuta yangu alishangaa kwamba nami ni member wa jf ingawa hakujua ID yangu.. yeye naye akaniambia ni member kitambo sema huwa anaogopa kujitaja kama anaijua jf
 
Magari na Nyumba ni vitu vyako na familia yako kama sio m-binafsi na wala havimsaidii hata jirani yako anayeishi karibu kabisa na wewe .Hivyo ni vyako na muungwana yoyoyte akiwa navyo huwa hapigi kelele .Na KURA YAKO VILEVILE NI SIRI YAKO.Inaelekea jando lako ulifanyiwa hospitali kwani inaonekana una upogo wa maadili.
 
Hata mimi nataka niwe huru hapa mtandaoni juzi.. staff mate wangu alikuja kutumia kompyuta yangu alishangaa kwamba nami ni member wa jf ingawa hakujua ID yangu.. yeye naye akaniambia ni member kitambo sema huwa anaogopa kujitaja kama anaijua jf
I'd yangu naogopa hata kumwambia mdogo wangu.
 
Hongera Sana... Mimi Nina vibanda vya mpesa vi 8, nyumba 3, pub 2 na maduka ma3 laki I will never vote for CCM... Yaani

Rais ni CDM
Diwani ni CDM &
Mbunge CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…